ibrahim chisanga
Member
- Sep 27, 2015
- 83
- 15
...Kwa wale wataalam wa dawa ya mapenz ....ninahitaji kwan kuna mwanamke ananisumbua sana ...na kumuacha sitaki
Hi wanajamiiforum.
Kwa wale wataalam wa dawa ya mapenzi, ninahitaji kwani kuna mwanamke ananisumbua sana na kumuacha sitaki.
Hi wanajamiiforum.
Kwa wale wataalam wa dawa ya mapenzi, ninahitaji kwani kuna mwanamke ananisumbua sana na kumuacha sitaki.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!Fanya mazoezi kila siku asubuhi, acha usharobaro, usiwe mtu wa kuropoka, be smart sio kila siku unavaa majezi tu mara manchester mara arsenal mara azam yaana vaa ngu za heshima. Ukifanya yote hayo tafta namba yake ya simu uwe unamsalimia tu na kuchat mambo ya kawaida. Usirogwe kumwambia nakupenda. Subiri yeye aingie king baada ya kuonyesha kumjali na kumtreat kama queen elizabeth wa uingereza.