Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,961
- 142,149
Duuh nielekeze bas jinsi ya kupunguza makali na kero ya haya makitu
Chemsha maji halafu yaweke kwenye beseni au kisadolini.
Chukua Vicks, weka kwenye kijiko cha chai halafu ichanganye na hayo maji ya moto.
Chukua taulo, inamisha kichwa kwenye hilo beseni, vuta huo mvuke wa maji na Vicks huku ukiwa umefunika kichwa na taulo.
Fanya hivyo kama mara tano na ukimaliza jikandie hayo hayo maji. Jikande kifuani, shingoni, usoni, na kwenye pua.
Ukimaliza hayo tafuna karafuu halafu lala. Pia, kunywa supu yoyote ile ila iwe ya moto.
Ukiamka halafu hayo mafua bado yawe yanakusumbua sana nambie nikupe mbinu nyingine.
Kama nilivyokwambia hapo awali, mafua hayana tiba kabisa.
Huwa yanaisha yenyewe tu. Lakini zipo dawa na mbinu ambazo zinaweza kukupa nafuu ya muda.
weka kitunguu usiku kma ulivyoambiwa na tafuna tangawizi during the day..inasaidia
Hapo chagua moja.... vitunguu au mafua.
Kama vipi katakata vitunguu, weka kwenye kisosi pembeni ya kitanda. Lala.
Asubuhi usiponiambia ahsante babu yangu mpenzi ntajua huna shukrani.
Anaejua njia rahisi ya kutibu mafua bila kutumia antibiotics au mitishamba naomba anijulishe maana nahisi kufakufa
Anaejua njia rahisi ya kutibu mafua bila kutumia antibiotics au mitishamba naomba anijulishe maana nahisi kufakufa
Chemsha maji halafu yaweke kwenye beseni au kisadolini.
Chukua Vicks, weka kwenye kijiko cha chai halafu ichanganye na hayo maji ya moto.
Chukua taulo, inamisha kichwa kwenye hilo beseni, vuta huo mvuke wa maji na Vicks huku ukiwa umefunika kichwa na taulo.
Fanya hivyo kama mara tano na ukimaliza jikandie hayo hayo maji. Jikande kifuani, shingoni, usoni, na kwenye pua.
Ukimaliza hayo tafuna karafuu halafu lala. Pia, kunywa supu yoyote ile ila iwe ya moto.
Ukiamka halafu hayo mafua bado yawe yanakusumbua sana nambie nikupe mbinu nyingine.
Kama nilivyokwambia hapo awali, mafua hayana tiba kabisa.
Huwa yanaisha yenyewe tu. Lakini zipo dawa na mbinu ambazo zinaweza kukupa nafuu ya muda.
Hama ilo eneo, nenda mkoa mwingine.
ShukraniAcha hayo maelezo yote uliyoelekezwa kama bado haujafanya kitu chochote! Tafuta limao kamulia tone tatu mpaka tano kwenye pua after km lisaa utakuwa mzima kabisa! Ila ninzuri ukitumia muda wa kulala maana yanakuwa makali zaidi usiku. Inauma ila sito sana but it kusaidia sana.
ID Yangu Inatosha Kumaliza Hilo Tatizo Lako. Pole Sana Lakini!
mafua ugonjwa wa mapenzi
Limao weka kwenye supu chai ya mkandaa au maji ya uvunguvungu kunywa mara kwa mara.
Ha! wekweli doctorKwa bahati mbaya mafua hayana tiba .