jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Dawa ya wapiga mizinga nikichapo na kula 0714.
Ukiona ivyo jua ushachokwa..... Usumbufu umezidi.
Hivi ni kwamba wanaume siku hizi hawana hela ama? maana hata sielewi kila siku story za kuchunwa, mizinga eeeh acheni ubahili basiii.
Nyie mbona mnapewa na kufanyiwa msivyostahili?
Tunapewa ama tunapeana?
hata kimpesa cha kumpa pole. kweli wanaume wamezidi kupungua. eti enjoy!!
Nalipenda jina lako.wadada wa jina lako wanakuaga very smart ..Mwalu a.k.a N'gwalu yaani dhahabu..Hayo majina yamejaa sana Ikungulyabashashi kwa kina Nyani Ngabua enjoy nini sasa msibani?
wanaume wanapochoka kuwa wanaume bana