Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Wape pesa ndo dawa yao...
Wape pesa ndo dawa yao...
we si mwanaume utafanyaje zikiisha?zikiisha je?
we si mwanaume utafanyaje zikiisha?
usitongoze....
jikune unapojifikia usitake mambo makubwa kuzidi uwezo wako!!narudi kijijini
halafu ndo iweje?...
halafu ndo iweje?...
yeah, dawa ya pesa pesa, ampe mpaka aseme basi.
Unatafuta nyingine ukipata unampazikiisha je?
hiyo ndio dawa full stop
Jina lako na huu utumbo ulioandika tofauti.