Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

Dawa ya kuzibua pua ni ipi?

Abdull hamid

Member
Joined
May 20, 2020
Posts
26
Reaction score
20
Jamani pua imekataa kuzibuka kazi yake ni kupishana tundu mda huu inaziba hii mda mwengine inaziba hii na harufu ndo haipatikani kabisa hadi kichwa kinauma naanza kuogopa sasa leo naitaji mawazo menginw washauri wangu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu.

Kwanza Natural remeds:
Chukua kitunguu maji kisha kikate nusu alafu tafuna siyo kikali au tengeneza tangawizi na limao ufanye chai uwe unakunywa mara kwa mara.

Tatu ni drugs sasa;
Kuna dawa flani (nimeisahau) ya watoto ambayo ina mlija wa kuchovya dawa kisha unaweka puani 2-3drops. Hii inazibua fasta ila baada ya muda pua inaziba tena but baada ya siku 1-2 unapona.

NB: Mazoezi ya siku moja hayawezi kukufanya kupona ugonjwa.

👉Maumizi yakizidi muone daktari.
 
Pole sana mkuu.

Kwanza Natural remeds:
Chukua kitunguu maji kisha kikate nusu alafu tafuna siyo kikali, pili tengeneza tangawizi na limao ufanye chai uwe unakunywa mara kwa mara.

Tatu ni drugs sasa;
Kuna dawa flani (nimeisahau) ya watoto ambayo ina mlija wa kuchovya dawa kisha unaweka puani 2-3drops. Hii inazibua fasta ila baada ya muda pua inaziba tena but baada ya siku 1-2 unapona.

[emoji117]Maumizi yakizidi muone daktari.
Ok mkuu nitajaribu iyo

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Umesahu kunifukiza inasaidia sana,hakuna lingine hapo,wala usihofu Mimi hali hiyo imenitesa mwezi sasa,kuna kipindi kitafika utajihisi una presha,ikikutokea kunywa maji ya Madafu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Chemsha maji, weka ktk ndoo kisha fanya kuinamia, ule mvuke ukupate usoni(kama vile unajifukiza), angalizo, fumba macho.

2. Chukua maji, weka chumvi yaache yachemke, chukua kitambaa kisha kanda pua.
Njia hizo zinaweza kuwa na manufaa, ikishindikana tafuta msaada wa kitabibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta hii dawa hutajutia. Ni ya ku spray puani. Inauzwa kama elfu 15 hivi. Iko poa sana
JPEG_20200523_224204_8249461492165903862.jpg
JPEG_20200523_224236_8004082026446401787.jpg

Au mnasemaje mods wa JF
 
Mkuuu ukitaka tiba ya kudumu Nenda Hodpitali watakuchunguza Chanzo Ama ni Nyama za Puani ama mi ALEJI. Utafanyiwa vipimo itabainika na Utapewa tiba na Ushauri. Nilipata tabu sana lkn leo niko Suppa. Kikubwa hilo tatizo ni aleji, sasa kama makazi yako hayafanyiwi usafi ipasavyo hakika Utamaliza dawa Pharmacy Mkuu. ONDOA VUMBI LOTE GHETO KWAKO ama KAZINI KWAKO KAMA NI MAZINGIRA YA VUMBI PIGA BARAKOA then ualeta mrejesho ukiwa Suppa.
 
Sawa mkuu ngoja niende hosptali kubwa mana hzi ndogo nimeshazimaliza kwa kweli

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom