Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Tupe ushuhuda wa dawa hii.Habari yako mkuu
Naomba kueleweka kwanza mimi sio mganga wala mganguzi ila katika pitapita zangu kwenye social media nimepata kuona dawa mjarabu kwa wenye vifungo vya mizimu na majini binafsi imenisaidia
MASHARTI
Hutakiwi kuwaamini mchafu kiroho yaani ni kwamba hauitajiki kuwa mchafu kwa namna yeyote na kujitenga mbali na vichafuzi vya mwili pamoja na roho(zinaa na pombe) ili kuepusha kuendelea kwa ushetani ndani yako na kuvutia nuru ndani yako.
Dawa na Matumizi
Chumvi na kawaha/mdalasini ya unga
-unatia ndani ya maji vyote kwa kuweka manuizi ya kuomba kwa Mungu ukuondolee nguvu hasi ndani yako kwa kutumia chumvi na kahawa
Matumizi unatakiwa kuoga .
Utakuja kunishukuru.
Try it nduguTupe ushuhuda wa dawa hii.
Manuizo yake yanakuwaje?Try it ndugu
Jua kubwa kubwa chumvi ni dawa ya kurudisha nguvu zako,then kahawa au mdalasini husafisha mwili
Unaitumia kwa muda gani, au mpaka kifoHabari yako mkuu
Naomba kueleweka kwanza mimi sio mganga wala mganguzi ila katika pitapita zangu kwenye social media nimepata kuona dawa mjarabu kwa wenye vifungo vya mizimu na majini binafsi imenisaidia
MASHARTI
Hutakiwi kuwaamini mchafu kiroho yaani ni kwamba hauitajiki kuwa mchafu kwa namna yeyote na kujitenga mbali na vichafuzi vya mwili pamoja na roho(zinaa na pombe) ili kuepusha kuendelea kwa ushetani ndani yako na kuvutia nuru ndani yako.
Dawa na Matumizi
Chumvi na kawaha/mdalasini ya unga
-unatia ndani ya maji vyote kwa kuweka manuizi ya kuomba kwa Mungu ukuondolee nguvu hasi ndani yako kwa kutumia chumvi na kahawa
Matumizi unatakiwa kuoga .
Utakuja kunishukuru.
Mungu nakuomba uijalie chumvi hii ya asili kuirejesha asili ndani yangu kama ulivyo niumba.Manuizo yake yanakuwaje?
Wiki but bila kusahau chumvi ya maweUnaitumia kwa muda gani, au mpaka kifo
Kahawa asili isiwe ya kuchakatwa/kwenye viwandaKahawa ipi kiongozi
Ushirikina ule ule tu. Tofauti ni njiaTry it ndugu
Jua kubwa kubwa chumvi ni dawa ya kurudisha nguvu zako,then kahawa au mdalasini husafisha mwili
Maji ya baraka ni nini? Na ndani yake kuna nini?Alafu ukute Mkristo hasa Mkatoliki ambaye anashiriki mwili na damu ya Yesu kila jumapili nae anatengeneza dawa hizi na kunywa zimwoshe na uchafu wa kiroho tena ananuizia kabisa!
Nuizia kwa Yesu unaposhiriki Ekaristi mengine tumia kama chakula au kinywaji tu.
"Negativity has it power to reject it's opposite side quickly especially in rude and naught way " Naangalia nacheka kwa nguvu sanaTry it ndugu
Jua kubwa kubwa chumvi ni dawa ya kurudisha nguvu zako,then kahawa au mdalasini husafisha mwili
Chumvi hata kwenye maji ya baraka inawekwa hivyo vinaitwa visakramentAlafu ukute Mkristo hasa Mkatoliki ambaye anashiriki mwili na damu ya Yesu kila jumapili nae anatengeneza dawa hizi na kunywa zimwoshe na uchafu wa kiroho tena ananuizia kabisa!
Nuizia kwa Yesu unaposhiriki Ekaristi mengine tumia kama chakula au kinywaji tu.