Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,754
Wadau niko mkoa kwa likizo fupi ya mafuriko ya mjini Daslam mpaka hali itapotengemaa. Huku mkoa niliko mjengoni kuna tabia ya ajabu ya mchwa wanaojenga na udongo ukutani kama ramani flani hivi ya udongo.
Nimejaribu kuwavunjia mara kadhaa ila nao wameonesha jinsi walivyo na kiburi na kujenga upya kila napobomoa tu nikilala nikiamka nakuta kama nilivyopaacha. Cha ajabu milango na madirisha yamefungwa usiku kucha sijui hata udongo wanautolea wapi.
Mwenye dawa ya kuwafukuza hawa jamaa au utundu wa kuondosha hii hali maana imekuwa kama kero kwangu. Naombeni mjitokeze.