DAWA YA KUUA MAGUGU..

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
474
Habari zenu wataalam wa kilimo na ufugaji..

Naomba msaada wenu waungwana kama kuna mtu mwenye ufaham wa kujua dawa ya kuteketeza magugu(majani) shambani.
Shamba lina ukubwa wa hekari kumi, naona nguvu kazi imekuwa ndogo, imeshindwa kuendana na kasi.. Mm niko mkuranga - Pwani.

1. Je kuna dawa ambayo naweza kupiga wakati mazao yapo shambani na yasizurike?
Shamba lina mihogo na mikorosho.

2. Je inachukua muda gani tangia kupiga mpaka majani kuja kuota tena?

3. Hekari moja itagharimu dawa ya kiasi gani? ( in tshs.)

4. Kama nikipata inayo ua majani aina zote itakuwa nzuri zaidi.

Natangulisha shukrani zangu za dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom