D Dullah2020 New Member Joined Apr 24, 2020 Posts 2 Reaction score 7 May 5, 2020 #1 Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
RMchux Member Joined Jun 30, 2019 Posts 27 Reaction score 39 May 5, 2020 #2 Acha kujifanya kijana achia MVI hizo Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujifanya kijana achia MVI hizo Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,577 May 5, 2020 #3 Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Wenzio wakina Mbowe Sheini wanapaka piko Lemutuz kaamua kunyoa kipara ila ana mvi kama Lowasa vile
Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Wenzio wakina Mbowe Sheini wanapaka piko Lemutuz kaamua kunyoa kipara ila ana mvi kama Lowasa vile
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,599 May 5, 2020 #4 Mzee baba ushakuwa kijeba,..sali sana ufanye toba, Achana na mambo za kutafuta dawa ya mvi nyakati hizi..
Mzee baba ushakuwa kijeba,..sali sana ufanye toba, Achana na mambo za kutafuta dawa ya mvi nyakati hizi..
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 May 5, 2020 #5 Kwani mvi ni ugonjwa ? Dawa ni kwa ugonjwa tu mvi ni fahari ya wazee. zionee fahari
M Mabel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,290 Reaction score 717 May 5, 2020 #6 Mimi miaka 36 mvi naona zinajaa, naziangalia tu sijui hata zinatoka wapi
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 5,947 Reaction score 11,813 May 7, 2020 #7 Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Dah mkuu me 20+ mvi kibao ww 40+ bado unalalamika
Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Dah mkuu me 20+ mvi kibao ww 40+ bado unalalamika
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,364 Reaction score 21,442 May 7, 2020 #8 Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... MKUU dawa yake ni kunyoa kipara,,,hakuna dawa nyingine ya mvi,,.. Sent using Jamii Forums mobile app
Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... MKUU dawa yake ni kunyoa kipara,,,hakuna dawa nyingine ya mvi,,.. Sent using Jamii Forums mobile app
Civilian One JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 246 Reaction score 189 May 11, 2020 #9 Dawa ya mvi ni kuacha umbea
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 18, 2020 #10 Pole mvi zinaboa sana Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,954 Reaction score 12,515 May 19, 2020 #11 Ama kweli
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,426 Reaction score 24,148 May 20, 2020 #12 Super black
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,187 Reaction score 4,422 May 20, 2020 #13 Uwe unazipiga kiwi nyeusi kilasiku. Anza kichwani kisha unamalizia kwenye viatu.
cutelove JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 3,586 Reaction score 8,387 May 20, 2020 #14 Kuna kaka angu anazo full kichwani na ana umri wa miaka 33 Sent using Jamii Forums mobile app
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,932 May 20, 2020 #15 Hata mie ninazo Ila naishi nazo Sent using Jamii Forums mobile app
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,013 Reaction score 28,349 May 20, 2020 #16 Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Tumia hata picco mkuu inasaidia.
Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Tumia hata picco mkuu inasaidia.
D Dullah2020 New Member Joined Apr 24, 2020 Posts 2 Reaction score 7 May 29, 2020 Thread starter #17 wa stendi said: Tumia hata picco mkuu inasaidia. Click to expand... Pico hapana. Usumbufu sana kutumia
wa stendi said: Tumia hata picco mkuu inasaidia. Click to expand... Pico hapana. Usumbufu sana kutumia
Dyz mwanza New Member Joined Jun 7, 2020 Posts 3 Reaction score 1 Jun 8, 2020 #18 Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Aseee!! Anza kupaka picco ukishindwa upambane na hali yako choko we!
Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Aseee!! Anza kupaka picco ukishindwa upambane na hali yako choko we!
fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,235 Jun 8, 2020 #19 Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Weza zazuu au pico
Dullah2020 said: Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni. Click to expand... Weza zazuu au pico
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Aug 10, 2020 #20 Kunywa juisi ya mkaa