Dawa ya kuondoa chunusi

Kabla hujaenda kulala kila siku hakikisha unanawa USO wako kwa maji na sabuni kisha unalala hivohivo bila kupaka mafuta, na asubuhi NASA paka mafuta utaniuliza why
Watu wengi huwa hatupendi kuacha USO upumue ,maana wengi wanapaka mafuta powder na vingine wanavyojua wao, hivo ngozi hushindwa kupumua usiku.
Jaribu kwa mwezi unipe feedback
 
Ndugu hili jukwaa lina wenyewe wenye taaluma zao sie wengine tukae tu pembeni kuwasikikiza na kupokea ushauri toka kwa wenye fani zao...so tusianze kukurupuka na kuanza kushauri shauri hovyo watu bila ya kuwa na uelewa wa tunayoyashauri
 
Chunusi sugu dawa nafuu msaada pls
DAWA YA MAPELE NA CHUNUSI
Dawa hii hutibu mapele na chunisi zilizopo sehemu yoyote mwilini,hivyo ni wakati wako sasa wewe mwenye matatizo haya kuweza kujitibu kiasili bila kutumia madawa yenye chemicals ambayo yatakuja kukuletea matatizo mengine baadae.karibu sana kwenye Hospitali yetu ya tiba za kisunna
.......................................................................
Chuku tango na ulioshe vizuri
Lisage bila kulimenya maganda
uwe unapaka sehemu zenye vipele na chunusi
asubuhi,mchana na jioni MPAKA UTAKAPO PONA
Tango.jpg
 
View attachment 362949
Mkuu mzizimkavu unaijua dawa ya kuodoa macho kuwa mekundu?
 
Mkuu mzizimkavu unaijua dawa ya kuodoa macho kuwa mekundu?

TIBA YA DAWA KUWA MACHO MEKUNDU

TIBA(1) Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.

AU TUMIA DAWA HII HAPA CHINI ITAKUSAIDIA :
Tiba (2)
Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa asali katika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Tiba (3) Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba ingine.
 
Back
Top Bottom