Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba msaada kwa anaejua mahala naweza ipata dawa ya kuogeshea mifugo CYPERTOP E.C.
tafadhalini maana kwa Dar nimeitafuta haipatikani kabisa natanguliza shukrani kwenu nyote, mbarikiwe sana.

Samaahn unaweza kuniambia hii dawa ina sifa gani kwa mifugo
Nilichinja Ng’ombe wangu alikuwa anaumwa kupe wakasababisha Ndigana daktari aliniambia dawa unayotumia kuogesha Ng’ombe siyo nzuri

Ndungu kwakweli hii dawa hakuna mdudu anasimama hapo,kwakweli ni dawa inayo faa sana sasa sijui kwanini imepotea kabisa, wafugaji wengi sana tunaitafuta, mimi sasahivi nateswa na kupe kwenye Mbwa na Mbuzi vibaya sana, ila Mbuzi nimefanikiwa na TIK TIK.
Ukiweza ipata hiyo amahakika hutaona kupe kasimama mziama hapo.