Dawa ya kumfunga mwanamke asitoke nje ya ndoa jamani

Dawa ya kumfunga mwanamke asitoke nje ya ndoa jamani

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,190
Reaction score
38,578
Nimeona mnaulizia wanaume dawa yao wasitoke nje ya Ndoa. Basi leo mtupe ya wanawake wasitoke nje ya ndoa.
 
hofu ya mwanzilishi wa ndoa Mungu na upendo wa dhati na sio wa chati!!!!!!!!!!!
 
Pdidy si unamjua pdidy wa ukweli?ye haachwi ila anabadilisha vitasa kila kukicha.dawa ni $tshkshugshgbp€£ bhaaasssssss
 
Gawa pesa tuu uone kwa karne hii mpe hela ndiyo limbwata yaoo.
 
Nimeona mnaulizia wanaume dawa yao wasitoke nje ya Ndoa. Basi leo mtupe ya mabinti wasitoke nje ya ndoa.

Leo sasa tutaelewana...........kwa ulivyo andika hivi poa.........
Sasa hukawii kutibuka...........
 

Attachments

  • IMG-20150106-WA0010.jpg
    IMG-20150106-WA0010.jpg
    31.5 KB · Views: 254
  • IMG-20150108-WA0002.jpg
    IMG-20150108-WA0002.jpg
    13.3 KB · Views: 250
  • IMG-20150103-WA0089.jpg
    IMG-20150103-WA0089.jpg
    18.4 KB · Views: 232
Dawa ni ile inapatikana Ayubu 31:9-10.
Angalizo: Ili jambo hilo litimie, lazima uwe unamfuata Mungu pasipo kugeuka kuume au kushoto. Tofauti na hapo....
 
hasa zingatia la kutokuibgia jf huku hata wa kwangu nimempiga marufuku.
Wakome kabosa na invisible ukiwaona wapige baniiii. Auth by pdidy leg all&advs
 
Wakome kabosa na invisible ukiwaona wapige baniiii. Auth by pdidy leg all&advs

Ahahahaa ila ninyi muingie, wasiwasi wenu utam pm mkeo bila kujua? Au una sababu nyingine?
 
Back
Top Bottom