Dawa ya Kukomesha Uzinzi

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Baada ya kuwafundisha akina mama na akina dada dawa kwa ajili ya wale wanaojikausha kupokea simu za mahawara wanapokuwa nasi, sasa niwapeni dawa mpya kwa ajili ya kukomesha uzinzi kabisaa:-
 
Baada ya kuwafundisha akina mama na akina dada dawa kwa ajili ya wale wanaojikausha kupokea simu za mahawara wanapokuwa nasi, sasa niwapeni dawa mpya kwa ajili ya kukomesha uzinzi kabisaa:-

Hiyo siyo dawa, ni ugaidi huo.
 
Hii nokia fatuma yangu imenigomea. Ila uzinzi ukikomeshwa si tutakosa challenge kabisa kwenye mahusiano jamani? Kuwindana na kukimbizana kuna raha yake atii
Ndonga imewekwa kwenye ubao na kukatwa na jambia mbele ya kadamnasi, jamaa kabaki na kishina kama tiketi za TFF
 
Mtu aliewahi kuwa na ndoa hata kama kaachika haruhusiwi kugombea miss yoyote, kulikoni? Ngoja nikakupinge, ama penyeza rupia.
Bibie HEART kwa heshima na taadhima naomba kura yako miss chit chat
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeee, wamekata ka ufito ka jamaaa, huu ni ukatili wa hali ya juu sana, yaani hii clip imenisisimua
 
huyo aliyekatwa sio Mzungu, wala sio Mswahili, ni Mwarabu, kwa hiyo Waarabu ndio vinara wa zinaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom