ni kujaribu kila kitu chini ya anga, kama yalivyo maua na rangi mbalimbali, na tiba pia hivyo zipo nyingi mno! jaribu kumpigia kwa airtel akuletee tiba haraka, ila kama nilivyokwambia ukiona network si nzuri jaribu pia line mwenza ya tiGo kha! nakutakia uponyaji wa haraka!
mmmhhhhh sitoi huduma kwa sasa! nimesitisha service kabisa, najipa mapumziko kwanza! ila usikate tamaa waeza pata msaada kwa hisani ya bunge letu tukufu, kwa ku-exclude chadema lakini, lol!bi cacico, wewe hutoi dawa kweli? maana naihis kahoma fulani kwa mbali..nahisi nikituma pm utaleta pozi...
Yaani Yaani hata wewe?
Wa kusema napita!
Tayari hapa na mgonjwa wa pili kaongezeka, members kibao wanasugua vichwa kuelekeza treatment!
We wapita, hujali, huguswi!
Ama kweli manabii walianza kataliwa makwao.
haya waumwa viuno vya wenzenu vimeuma hadi wameamua kuvipoza kwa picha
Ndo unaamka? Sijakuona since mornie, tena hata B nae hajaonekana yaani mmepotea wote!
Basi nafunika bilauli mtoto aliyekosa Baba apite!
Haya nisaidie dawa ya hii makitu, nionyeshe hizo picha walizoponea hao.
jamani pole, ndio tuko PM na babu Asprin tunajadili tiba yako, nadhani utapata tiba! vuta subira! ila pole sana, na umejaribu tiba kwenye viwanda vya sabuni??, kama revola, geisha inapendwa na wengi, tuliza hata maumivu wakati tiba inajadiliwa! lol!Ndiyo mchana eeh, alokwambia Uno latakiwa liume usiku nani ?
Kiuno ndo kimekua kiuno! Kinanyogoa baadhi ya wakati kinanyevua!
shughuli zilinibana B kaama jukwaa yawezekana kashakula ban.picha kule kwa RUNGU NA KIBWEKA NI BURE
Kumbe unanielekeza kwenye kula ugali na image ya fish! Imagenable meals!
Kule kutaniongeza tatizo!
Badala ya hapa litakua la India.
jamani pole, ndio tuko PM na babu Asprin tunajadili tiba yako, nadhani utapata tiba! vuta subira! ila pole sana, na umejaribu tiba kwenye viwanda vya sabuni??, kama revola, geisha inapendwa na wengi, tuliza hata maumivu wakati tiba inajadiliwa! lol!
sio hivyo, na usikate tamaa haraka! tiba itapatikana tu!Haya mie nangoja si wanasema muhitaji khan*thi.
Infringment of copyright cacico??? Daddy ni kwa watu special tu beware!!!!sikuiti tena, niatakuita babu tu! sitaki kukuita daddy kama wa mkaliwakitaa! we utakuwa babu Asprin au na babu hutaki tena???
ni upepo tu unapita, vumilia!Haya banaa , manaake asubuhi juzi kilikua kinanyogoa, jana kikanyevua, leo kinachonyota, sijajua kesho.
am also soooo special to sm1 too, nways hebu nisomee kifungu changu cha sheria mapema, nitumikie hiyo adhabu haraka!Infringment of copyright cacico??? Daddy ni kwa watu special tu beware!!!!
adhabu yako ni ku quote kila comment yangu humu Jf kwa wiki nzima...Ofkooooz..mamii cacico...ur velevle special to all of us in JF..am also soooo special to sm1 too, nways hebu nisomee kifungu changu cha sheria mapema, nitumikie hiyo adhabu haraka!
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hiyo adhabu ni kasheshe kha! nitatafuta msaidizi, haya baba umeshinda!adhabu yako ni ku quote kila comment yangu humu Jf kwa wiki nzima...Ofkooooz..mamii cacico...ur velevle special to all of us in JF..
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hiyo adhabu ni kasheshe kha! nitatafuta msaidizi, haya baba umeshinda!
vaa shanga aka chachandu utaponaSi kingine ni Kiuno! Ndiyo kinisumbuacho!
Kamwe msinipe Miguno!
Wajibu mnitupie Macho!
Kiuno hakisikii Sindano!
Kila nachotibiwa Sicho!
Kiuno chauma meuma Meno!
Mechoka kulala Macho!
Wadau nipeni Mifano!
Dawa ipi pasipo Ficho!
Kiuno jamani Kiuno!
Si kingine ni hicho! Sihitaji Malumbano!
Meongea pasi Kificho!
Wadau wenye Maono!
Ipi dawa nipate Ponyo ?