Khaaa! We cacico ukome kuniita mimi basha loljamani Judgement mbona tiba siku hizi zipo za buku mbili, tena diclofenac ndio ya bei hiyo, ila ukiona umpigiaye hapokei ili kukuletea tiba?? unaweza jaribu line ya tiGo, uone kama tiba italetwa haraka na upesi, pole kwa kuumwa kiuno, ni upepo tu utapita!
Taijike!
Service ya kivipi sasa ?
Nafsi yako imekidhika kua umenisadia kuelewa ponyo?
jamani Judgement mbona tiba siku hizi zipo za buku mbili, tena diclofenac ndio ya bei hiyo, ila ukiona umpigiaye hapokei ili kukuletea tiba?? unaweza jaribu line ya tiGo, uone kama tiba italetwa haraka na upesi, pole kwa kuumwa kiuno, ni upepo tu utapita!
Ni huyu binti cacico anapenda kuniita babu basha. Sijui ni kwakuwa nilianza hii biashara nikiwa ningali bado mdogo? Poor ODM me....Mkubwa Tablet!
Mdomo huo!
Sijui furmigation ya mdomo hua ipo?
Kama ipo itakuhusu, hamuogopi hata kwenye Uzi wa mgonjwa, mtatupiana midongo!
Ni huyu binti cacico anapenda kuniita babu basha. Sijui ni kwakuwa nilianza hii biashara nikiwa ningali bado mdogo? Poor ODM me....
shemeji yangu Judgement, pole we kwa maumivu
kwa kweli sipati picha, nadhani wewe mvivu
yu wapi da beibe nasty, akutoe maumivu!??????
sikuiti tena, niatakuita babu tu! sitaki kukuita daddy kama wa mkaliwakitaa! we utakuwa babu Asprin au na babu hutaki tena???Khaaa! We cacico ukome kuniita mimi basha lol
babu Asprin jamani nilipojoin jei efu sweetlady alinipa intro kuwa we ni basha, sa mi nimekosea wapi!? hebu niPM basi unifafanulie nielewe nnavyopaswa kukuita lol! ila kweli nimekoma sikuiti tena basha, lol!Ni huyu binti cacico anapenda kuniita babu basha. Sijui ni kwakuwa nilianza hii biashara nikiwa ningali bado mdogo? Poor ODM me....
he Judgement mbona kushadadia hivyo? lol! vipi kiuno mchana huu?? na ukipata tiba utujulishe pia!Hee!
Au hajui maana ya Basha?
Nashauri akutake razi!
Au mpige fine!
Tena fine yenyewe uchague wewe cha kulipwa na malibrikanti yakiwemo.
ni kujaribu kila kitu chini ya anga, kama yalivyo maua na rangi mbalimbali, na tiba pia hivyo zipo nyingi mno! jaribu kumpigia kwa airtel akuletee tiba haraka, ila kama nilivyokwambia ukiona network si nzuri jaribu pia line mwenza ya tiGo kha! nakutakia uponyaji wa haraka!Cacico !
Nikushkuru angaa kwa kuthubutu kunionyesha ponyo!
Bt ukiona KIUNO kimecrietiwa Thrade jua vya diclopenac vilishashindwa!
Kiuno kimekua Uno lisilosikia dawa!
Bado naendelea kutafakuri hapo kwenye kupiga tiGo !