Dawa ya kitambi hii hapa

kuna njia nyingi zinaelezwa kama juhudi za kutokomeza kitambi, leo jaribu hiii
tafuta ukwaju at least nusu kilo au robo kilo,ukisha uandaa uloweke kwenye maji lita moja kwa nusu kilo au maji nusu lita kwa ukwaju robo kilo, wait until 2hours to pass, then kamua kutenganisha juice ya ukwaju na peke zake, baada ya kupata juice yake weka kwenye glass na uchanganye na asali kwa kiwango cha kupata test standard kama juice zingine,
kitakachofatia baada ya kama saa moja....utaharisha sana sana, fanya hivo every day mara tatu kwa siku hadi utapo ona sasa inatosha, kwa kifupi ni tiba nzuri sana, TRY IT, u can see...na kama kikigoma kutoka ni bora ukafanyiwe oparesheni au ukaombewe
 
Nashukuru mkuu! Hakika "ukwaju" au "tamarind" kwa kizungu ina sifa za kupunguza mafuta mwilini.
 
Kwa hiyo ukihalisha kitambi kinapungua sio?

yap, sababu kitambi ni accumulation ya mimafuta tu, na utaona aina ya uchafu unaotoa ni some sort ya mimafuta, na unaharisha kweli siku utakayokunywa ni bora uwe huna kazi au huna safari otherwise ni hatari
 
Ukwaju unasaidia sana kupunguza cholesterol mwilini, na pia ni tiba nzuri sana kwa moyo... Ila ukinywa yakupasa uwe karibu na maliwato bila hivyo shughuli.
 
Kwa wale wanaofuga vitambi mjini sio deal bali ni kufuga ugonjwa utakuoku-cost mbeleni.
Prevention is better than cure.
Pia kupunguza kunywa bia na nyama choma ni muhimu sana kwa sababu ukinywa juice (supu!!) ya ukwaju ukarudia tena bia haitosaidia kamwe. Mazoezi kwa sana pia. Tujaribu kuepuka SEDENTARY LIFE..., hata kama una kausafiri amka mapema asubuhi fanya mazoezi.., au hata jioni badala ya kukaa baa tumia muda huo kufanya mazoea.
Kila la kheri
 
Hapana bado nakihitaji kitambi,ndio maana kila siku nafanya juhudi kubwa kuhakikisha kinakuwa kikubwa kuliko maelezo na kuthibiti mbinu zozote zinazoelekea kukidhoofisha kitambi hiki.eehe mwenyezi mungu bariki kitambi changu ili siku ile ntakaposimamiswa kazi nipate ugonjwa wa watu wakubwa hata kama ni h.i.v. Ili nipate sifa kuu mbele za wale niliowahujumu kukinenepesha kitambi changu.
 
vipi wewe???!!!!!

Asprin dont try this at all. Bila hicho kitambi hupati mademu wala bia za mkopo

nimeipenda hiyo hapo juu kuwa bila kitambi hupati mademu wala bia za mkopo!!????
mkubwa siku mademu wenyewe hawataki kitambi iweje uwapate kwa kutumia kitambi chako!!!!huyo atakuwa siye....
 
Last edited by a moderator:
kuna njia nyingi zinaelezwa kama juhudi za kutokomeza kitambi, leo jaribu hiii
tafuta ukwaju at least nusu kilo au robo kilo,ukisha uandaa uloweke kwenye maji lita moja kwa nusu kilo au maji nusu lita kwa ukwaju robo kilo, wait until 2hours to pass, then kamua kutenganisha juice ya ukwaju na peke zake, baada ya kupata juice yake weka kwenye glass na uchanganye na asali kwa kiwango cha kupata test standard kama juice zingine,
kitakachofatia baada ya kama saa moja....utaharisha sana sana, fanya hivo every day mara tatu kwa siku hadi utapo ona sasa inatosha, kwa kifupi ni tiba nzuri sana, TRY IT, u can see...na kama kikigoma kutoka ni bora ukafanyiwe oparesheni au ukaombewe
Thanks mkuu, acha nikajaribu. Kitambi noma, muda wote unajisikia kunyakunya halafu performance inashuka
 
kuna njia nyingi zinaelezwa kama juhudi za kutokomeza kitambi, leo jaribu hiii
tafuta ukwaju at least nusu kilo au robo kilo,ukisha uandaa uloweke kwenye maji lita moja kwa nusu kilo au maji nusu lita kwa ukwaju robo kilo, wait until 2hours to pass, then kamua kutenganisha juice ya ukwaju na peke zake, baada ya kupata juice yake weka kwenye glass na uchanganye na asali kwa kiwango cha kupata test standard kama juice zingine,
kitakachofatia baada ya kama saa moja....utaharisha sana sana, fanya hivo every day mara tatu kwa siku hadi utapo ona sasa inatosha, kwa kifupi ni tiba nzuri sana, TRY IT, u can see...na kama kikigoma kutoka ni bora ukafanyiwe oparesheni au ukaombewe
Kisipotoka i will sue you
 
Michanganyiko mingine ni sumu kwa mwili.Acha ID zako halisi hapa JF tukifanikiwa tutakutuza na tukidhurika tutakushitaki kwa pilato.
 
Back
Top Bottom