Dawa ya kansa inapatikana!!!

Dawa ya kansa inapatikana!!!

Habari zenu Wandugu,

Ninamshukuru Mungu kwa kunipa maarifa ya kutengeneza dawa ambazo zitawaokoa watanzania wenzangu wenye matatizo ya
Kansa na Kisukari.

Kansa na Kisukari ni magonjwa yanayojulikana kuwa yanasababisha ulemavu au kifo, na kwa Kansa ni pale inapokuwa imeshafikia hatua ya Ngazi ya nne (Stage 4).

Dawa za kansa zinazopatikana ni kama kansa ya maini, matiti, tezi dume (Prostate), Kibofu, Mapafu, Kongosho na Shingo ya uzazi.

Huwa inachukua hadi miezi 10 ili mtu aweze kupona kabisa, ila huwa inachukua miezi minne hadi mtu aweze kurudi kazini kama alikuwa hawezi na hoi kitandani.

Dawa inaanza kuonyesha mabadiliko kwa mtu baada ya siku nne na Mtu anaanza kupata usingizi kama alikuwa anapata usingizi kwa shida, na maumivi mwilini na uchovu mwilini huanza kuondoka baada ya siku nane tokea pale mtu alipoanza kutumia dawa.

Kwa mtu mwenye kidonda cha kansa au kisukari huwa inachukua hadi siku ishirini ili aweze kupona kabisa.

Mtu yoyote anayehitaji hizi dawa basi asisite kuwasiliana na mimi kwenye namba ya simu au email yangu hapo chini.

Email:- lemaebengmail.com
Mobile:- 0625 595557; 0656 270329

Asanteni Sana na Karibuni wote mnaohitaji huduma na pia nawashukuru kama mkiwataarifu wale wanaoteseka na wanaohitaji huduma.
TAPELI MKUBWA
 
Hahahhaha kumbe na JF pia kuna madaktari wa matunguli?.

Naomba kamtibu yule dogo shabiki wa sunderland akipona na mimi nitakuwa moja ya watu watakao kutangazia biashara yako.
 
Habari za jioni Retired,,

Najua kwamba utasema mimi ni tapeli,, Lakini sichukui pesa ya mtu mpaka nimpe dawa na azitumie kwa miezi miwili ndo anilipe kama atapenda kunichangia, lakini siwezi kuchukua pesa ya Mtu mpaka adhibitishe mwenyewe kwamba dawa hii inatibu.

Nadhani umenielewa kaka.
Nasubiri jibu langu
 
Umeshazipeleka hayo mashirika alosema mkwepa kodi???

Hi scorpio me,,, Bado sijazipeleka huko ila nimeshazipeleka Baraza la Tiba Asilia na wanataka Prove au Uhakiki wa watu mbali mbali kudhibitisha kwamba dawa zangu zinaponya na ndomaana nimekuja huku JF ili watu wafahamu kwamba dawa zangu zinatibu kweli na watu waweze kujijaribia wenyewe.

Pia mimi sio Mganga wa kienyeji wala mchawi.

Nadhani umenielewa kaka.
 
Habari zenu Wandugu,

Ninamshukuru Mungu kwa kunipa maarifa ya kutengeneza dawa ambazo zitawaokoa watanzania wenzangu wenye matatizo ya
Kansa na Kisukari.

Kansa na Kisukari ni magonjwa yanayojulikana kuwa yanasababisha ulemavu au kifo, na kwa Kansa ni pale inapokuwa imeshafikia hatua ya Ngazi ya nne (Stage 4).

Dawa za kansa zinazopatikana ni kama kansa ya maini, matiti, tezi dume (Prostate), Kibofu, Mapafu, Kongosho na Shingo ya uzazi.

Huwa inachukua hadi miezi 10 ili mtu aweze kupona kabisa, ila huwa inachukua miezi minne hadi mtu aweze kurudi kazini kama alikuwa hawezi na hoi kitandani.

Dawa inaanza kuonyesha mabadiliko kwa mtu baada ya siku nne na Mtu anaanza kupata usingizi kama alikuwa anapata usingizi kwa shida, na maumivi mwilini na uchovu mwilini huanza kuondoka baada ya siku nane tokea pale mtu alipoanza kutumia dawa.

Kwa mtu mwenye kidonda cha kansa au kisukari huwa inachukua hadi siku ishirini ili aweze kupona kabisa.

Mtu yoyote anayehitaji hizi dawa basi asisite kuwasiliana na mimi kwenye namba ya simu au email yangu hapo chini.

Email:- lemaebengmail.com
Mobile:- 0625 595557; 0656 270329

Asanteni Sana na Karibuni wote mnaohitaji huduma na pia nawashukuru kama mkiwataarifu wale wanaoteseka na wanaohitaji huduma.
sukari inaponesha kabisa
 
Habari za jioni Retired,,

Najua kwamba utasema mimi ni tapeli,, Lakini sichukui pesa ya mtu mpaka nimpe dawa na azitumie kwa miezi miwili ndo anilipe kama atapenda kunichangia, lakini siwezi kuchukua pesa ya Mtu mpaka adhibitishe mwenyewe kwamba dawa hii inatibu.

Nadhani umenielewa kaka.
Tunaogopa kikombe cha babu. Tulipoteza ndugu zetu wakaacha kunywa dawa! Cancer is not that easy to treat. Unaweza ukawa na potential medicine for making more research on it, that is acceptable, lakini kuponya, si kweli! Au inatibu symptoms lakini cancerous cells are intact!
Nisamehe kama nimekukwaza! I do apologize!
 
Hi scorpio me,,, Bado sijazipeleka huko ila nimeshazipeleka Baraza la Tiba Asilia na wanataka Prove au Uhakiki wa watu mbali mbali kudhibitisha kwamba dawa zangu zinaponya na ndomaana nimekuja huku JF ili watu wafahamu kwamba dawa zangu zinatibu kweli na watu waweze kujijaribia wenyewe.

Pia mimi sio Mganga wa kienyeji wala mchawi.

Nadhani umenielewa kaka.
me sio kaka mkuu....
Ila bado hujatushawishi,isije ikawa yale ya babu wa loliondo au dk mwaka ...
 
Mimi ninapatikana pale Mbezi Beach Jogoo, lakini bado sijaamalizia ukarabati wa ofisi yangu.

Nitamalizia ukarabati wa ofisi yangu mwakani na nitaanza kutoa dawa na ushauri ofisini kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom