Ebenezer112
Member
- Apr 21, 2014
- 40
- 9
- Thread starter
- #21
inaponesha ama inashusha
Inaponesha kabisa, ila itachukua miezi nane mpaka mtu apone.
Na kwa vidonda vya kisukari huwa vinaanza kupona kwa mda wa mwezi mmoja.
inaponesha ama inashusha
tuingie mkataba mm na ww ntakuletea mngonjwa wa kisukari asipopona utatulipa nn?
sw ww usichukue pesa je acpopona c itakua umemlisha mngonjwa wng sumu pamoja na usumbufu km upo tyr tuingie mkataba acpopona utatoa fidia ya usumbufu na kutudanganyaHabari,
Huwa sichukui pesa mpaka mgonjwa ajaribu dawa na yeye mwenyewe athibitishe kwamba dawa inafanya kazi ndo sasa anaruhusiwa kununua kwa sababu ni vibaya sana kama utamuuzia mtu dawa alafu isifanye kazi, itakuwa si haki kwa mgonjwa.
tuingie mkataba mm na ww ntakuletea mngonjwa wa kisukari asipopona utatulipa nn?
Umeulizwa umeshazipeleka WHO Na kule kwa Mkemia kuzidhibisha hizo dawa zako?Habari za jioni Retired,,
Najua kwamba utasema mimi ni tapeli,, Lakini sichukui pesa ya mtu mpaka nimpe dawa na azitumie kwa miezi miwili ndo anilipe kama atapenda kunichangia, lakini siwezi kuchukua pesa ya Mtu mpaka adhibitishe mwenyewe kwamba dawa hii inatibu.
Nadhani umenielewa kaka.
Kansa haina dawa acha uongo
Nenda pale Ocean road Hosp,, mchukue mgonjwa mmoja mpe hiyo miziz yko watu waone huyo usimtoze hata sumuni yke,,Hi scorpio me,,, Bado sijazipeleka huko ila nimeshazipeleka Baraza la Tiba Asilia na wanataka Prove au Uhakiki wa watu mbali mbali kudhibitisha kwamba dawa zangu zinaponya na ndomaana nimekuja huku JF ili watu wafahamu kwamba dawa zangu zinatibu kweli na watu waweze kujijaribia wenyewe.
Pia mimi sio Mganga wa kienyeji wala mchawi.
Nadhani umenielewa kaka.
Umeulizwa umeshazipeleka WHO Na kule kwa Mkemia kuzidhibisha hizo dawa zako?
Bado tunakikumbuka kile kikombe cha kule Loliondo ,,
Sasa hapa na wew unataka kucheza na akili za Watu,,
Nenda pale Ocean road Hosp,, mchukue mgonjwa mmoja mpe hiyo miziz yko watu waone huyo usimtoze hata sumuni yke,,
Watu wakiona hali hii kwenye Tv tutakuamini kwa sas Tunasoma hz Namba kuaminiana hakupo.
Nenda pale Ocean road Hosp,, mchukue mgonjwa mmoja mpe hiyo miziz yko watu waone huyo usimtoze hata sumuni yke,,
Watu wakiona hali hii kwenye Tv tutakuamini kwa sas Tunasoma hz Namba kuaminiana hakupo.
Hahahhaha kumbe na JF pia kuna madaktari wa matunguli?.
Naomba kamtibu yule dogo shabiki wa sunderland akipona na mimi nitakuwa moja ya watu watakao kutangazia biashara yako.
haya majaribio unataka kuyafanyia hapa jf?Hi scorpio me,,, Bado sijazipeleka huko ila nimeshazipeleka Baraza la Tiba Asilia na wanataka Prove au Uhakiki wa watu mbali mbali kudhibitisha kwamba dawa zangu zinaponya na ndomaana nimekuja huku JF ili watu wafahamu kwamba dawa zangu zinatibu kweli na watu waweze kujijaribia wenyewe.
Pia mimi sio Mganga wa kienyeji wala mchawi.
Nadhani umenielewa kaka.
Tunaogopa kikombe cha babu. Tulipoteza ndugu zetu wakaacha kunywa dawa! Cancer is not that easy to treat. Unaweza ukawa na potential medicine for making more research on it, that is acceptable, lakini kuponya, si kweli! Au inatibu symptoms lakini cancerous cells are intact!
Nisamehe kama nimekukwaza! I do apologize!
Kama hao watu wanaoumwa kansa umewajua na umegundua uwepo wao kwanini usijitolee kuwatibu kama msaada kwanza wakati dawa yako inafanyiwa utafiti.Habari Raphael,,
Hapahapa Tanzania kuna watu wanaoumwa kansa na sio mpaka ureno, sasa kama ukiniletea Mtu anaeumwa kansa nimtie dawa na kwakua atapona basi itakuwa ni mwanzo mzuri wa Mimi na wewe kufanya kazi.
Nadhani umenielewa.