Dawa ya kansa inapatikana!!!

Dawa ya kansa inapatikana!!!

Why kila kinachofanywa na mtanzania kinakuwa utapeli??
Asante Sana Mokoyo,

na sio hivyo tu,, hata baada ya kusema kuwa ninatoa dawa bure kwa dozi mbili za kwanza bado watu wananiita tapeli na mkosefu wa ajira, na wakati hata bado sijarudisha gharama za utengenezaji wa dawa zangu,,

Sijui ingekuwaje kama watu wangejua kwamba nimetumia zaidi ya milioni 10 kwenye research tu.
 
Habari za jioni Retired,,

Najua kwamba utasema mimi ni tapeli,, Lakini sichukui pesa ya mtu mpaka nimpe dawa na azitumie kwa miezi miwili ndo anilipe kama atapenda kunichangia, lakini siwezi kuchukua pesa ya Mtu mpaka adhibitishe mwenyewe kwamba dawa hii inatibu.

Nadhani umenielewa kaka.
Unapatikana wapi?, nahitaji dawa ya kisukari
 
Nina mtu ana kansa ya ini nitakutafuta naona maelezo yako kiasi yameniingia sababu umeruka viunzi vingi sana kwa kujitetea.allah akusaidie
 
Hizo dawa bora hivyo muendelee kugundua wenyewe...Mimi siku nikigundua dawa za magonjwa kama vile ulcers, sukari, pressure, kansa n.k. nitapiga kambi hospitali za serikali nijichotee wagonjwa waliothibitishwa niwatibu buree kwa mwaka mmoja. Kisha wapimwe tena baada ya tiba yangu. Mwaka unaofuata sitokuwa na haja ya kujitangaza JF wala TBC ....nitakuwa napiga pesa tuuu.
 
Asante Sana interface,

Wala Usiwe na Shaka, huyo mgonjwa akitumia dawa hii kwa mwezi mmoja tu atakua ameona mabadiliko makubwa Sana,,

Wala hatuitaji kuandikia mate wakati wino upo,,,,
 
Hizo dawa bora hivyo muendelee kugundua wenyewe...Mimi siku nikigundua dawa za magonjwa kama vile ulcers, sukari, pressure, kansa n.k. nitapiga kambi hospitali za serikali nijichotee wagonjwa waliothibitishwa niwatibu buree kwa mwaka mmoja. Kisha wapimwe tena baada ya tiba yangu. Mwaka unaofuata sitokuwa na haja ya kujitangaza JF wala TBC ....nitakuwa napiga pesa tuuu.
Habari za mchana,,

Unanifurahisha Sana, unafikiri watakuruhusu kuweka kambi kwenye hospitali za serikali alafu dawa zako zinafanya kazi,,,?

Madaktari wakiona umati unakuja kwako na sio hospitalini tena,, basi watajiunga wakuletee timbwili ambalo sizani kama utaweza kulishinda,,,!!!
 
Tunauza dawa za kansa /saratani za aina zote kwa mfano kansa /saratani zifuatazo:-
Kansa ya Ngozi, Kansa ya mapafu (Lungs Cancer), Kansa ya utumbo (Colon Cancer), Leukemia (kansa ya damu), kansa ya mifupa (Bone Cancer), kansa ya matiti (breast cancer), Kansa ya tezi dume (Prostate cancer), kansa za kizazi kama ovarian cancer,kansa ya kibofu, Uterine Cancer. etc.

Dawa ya kansa / Saratani ni B-17 kama inavyoonekana kwenye Picha, na dawa hiyo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1. utapewa B-17 kopo mbili
2. Utapewa pia na Zinc Mineral supplement kopo 1. (Special sio zile wanazotumia hospitalini hizi za tiba mbadala)
3. ila utaongezea wewe vitamin mbili tu utaelekezwa,

Pia utapewa menu (Nutrition / diet)
1. itakuelekeza vyakula gani usitumie na sababu zake kwa nini usitumie na muda wa kutovitumia mpaka utakapopona., inamaanisha baada ya kupona unaweza kuvitumia tena.
2. Vyakula ambavyo ni muhimu kutumia wakati unatumia dawa / kipindi chote utakachotumia dawa.
>>>
Dawa ya B-17
inaongeza appetite ya kula, ina regulate blood pressure, pia unapunguza cell za kansa na kuziondoa kabisa.
Contact hii ili kuzipata: +447456171773 au+255787291773
 
Wala hata sikuelewi unachozungumza,,?

Mimi ndo kwanza nimeanza kujitangaza wala sikuwahi kuwa na hospitali yeyote,,

Na huyo doctor Ngwara ndo kwanza namsikia kwako,,

kama kweli unataka msaada basi njoo usaidike, lakini si vizuri kusingizia watu ili waonekane matapeli,, sio vizuri hicho kitu unachokifanya,,,!!!

IMG_20220408_203114_691.jpg
 
Tunauza dawa za kansa /saratani za aina zote kwa mfano kansa /saratani zifuatazo:-
Kansa ya Ngozi, Kansa ya mapafu (Lungs Cancer), Kansa ya utumbo (Colon Cancer), Leukemia (kansa ya damu), kansa ya mifupa (Bone Cancer), kansa ya matiti (breast cancer), Kansa ya tezi dume (Prostate cancer), kansa za kizazi kama ovarian cancer,kansa ya kibofu, Uterine Cancer. etc.

Dawa ya kansa / Saratani ni B-17 kama inavyoonekana kwenye Picha, na dawa hiyo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1. utapewa B-17 kopo mbili
2. Utapewa pia na Zinc Mineral supplement kopo 1. (Special sio zile wanazotumia hospitalini hizi za tiba mbadala)
3. ila utaongezea wewe vitamin mbili tu utaelekezwa,

Pia utapewa menu (Nutrition / diet)
1. itakuelekeza vyakula gani usitumie na sababu zake kwa nini usitumie na muda wa kutovitumia mpaka utakapopona., inamaanisha baada ya kupona unaweza kuvitumia tena.
2. Vyakula ambavyo ni muhimu kutumia wakati unatumia dawa / kipindi chote utakachotumia dawa.
Dawa ya B-17
inaongeza appetite ya kula, ina regulate blood pressure, pia unapunguza cell za kansa na kuziondoa kabisa.
Contact hii ili kuzipata: +447456171773 au+255787291773
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom