King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,609
Umeipeleka Wizara ya Afya Kitengo Cha Tiba Mbadala?
Mkuu! Kwa vile bado upo katika kutafuta uhalali wa tiba yako, Kwa nini usitibu bure kwa sasa? Yani unampata Mgonjwa, unaweza kumpiga mpaka picha na video kabla ya kuanza kutumia dawa na pia baada ya kupona, na imani itawafanya watu wakuamini hata ukipeleka report yako kunapohusika wakuelewe!
Sote tunajua Cancer haina dawa, wapo watu wanateseka na Cancer Ma hospitalini, wakisubiri siku ya kufa Tu, sidhani Kama itakua shida kwao au kwa ndugu zao kuruhusu.
Fanya bure Mzee na baadaye dawa yako ikiidhinishwa na Taasisi husika then ndo unaweza kuja hapa kifua mbele na Ku charge pesa!
Kansa haina dawa mkuu zaidi ya kukata kiungo ambacho kimezurika na ukichelewa ni kusubir kifo tu
Mkuu nenda "ocean road hospital" wagonjwa wapo wengi, kawaponye kwanza wale ndo tuanzie hapo.
Nitampa ndugu yangu namba yako aje akuone. Yupo huko mbezi . Hivi mbezi jogoo ni wapi, Kimara au beach
mkuu mtumie bradley uingereza ...anasubiri kufaHabari za jioni MKWEPA KODI,
Huwa nazitoa bure kwa dozi mbili ambapo mtu atatumia kwa miezi miwili alafu kama zikimsaidia na akazipenda basi ndo anunue zinazofuatia.
Nadhani umenielewa kaka.
Yaani una dawa ya kansa na kisukari alafu unasuasua kukarabati ofisi???? you can't be serious! Si ungekuwa ushahamia muhimbili?
Hiki kitu aisee hata hospitali za kisasa kabisa hakipo. Unataka jamaa achukue role ya Mwenyezi MUNGU! We jamaa unavituko!sw ww usichukue pesa je acpopona c itakua umemlisha mngonjwa wng sumu pamoja na usumbufu km upo tyr tuingie mkataba acpopona utatoa fidia ya usumbufu na kutudanganya
Mkuu mi naomba tu unipe ufafanuzi namna ulivyoithibitisha dawa yako kama yatibu kansa na sukari. Na pia huo muda ulioutaja umejuaje.
mkuu mtumie bradley uingereza ...anasubiri kufa
Habari za Mchana fazam,,mkuu mtumie bradley uingereza ...anasubiri kufa
search online mkuu lkn bradley ni fan wa sunderland aliyeomba wish za merry christmass wakati akisubiri ahadi yake itimie....xo akienda sunderland atampata easyHabari za Mchana fazam,,
Bado nasubiri hizo contacts za bradley sababu nilikua nachat na kaka yangu ambaye yuko Yorkshire na ameniambia yuko tayari kumpelekea huyo bradley hizi dawa, sasa ww nitumie hizo contacts za Bradley alaf mi nitamtumia dawa kwa DHL.
mashaka yangu ni hizo Id zenu zenye kuakisi imani fulani ili kumvuta mteja/mnunuzi. tumia majina halisi yasiyokuwa na kionjo cha imani ya wengi ili mteja akihiari asisingizie nilimfuata mpendwa ktk imani
search online mkuu lkn bradley ni fan wa sunderland aliyeomba wish za merry christmass wakati akisubiri ahadi yake itimie....xo akienda sunderland atampata easy
Asante Sana Nashukuru.Mungu aibariki tiba yako iwafae wengi.
Mmmh hapa kuna harufu ya utapeli, peleka Wizara ya afya ikapimwe na ipelekwe WHO na mashirika mbalimbali kama TFDA kabla haijaanza kutumika
Wala hata sikuelewi unachozungumza,,?Wewe doctor ! no Tabibu .... nani vile.... siku...no...wiki - no karne? yani doctor ngwara.... amekuthibiti kule back plan clinic umeibukia huku kivingine kuwatusua Watanzania ?