Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Na mimi hii dawa inatibu ukosefu wa ajira na utapeli
Kama ulipoteza mama kwa kansa na unafahamu maumivu ya kansa na inatambulika kuwa hakuna dawa ya kansa....basi mizaha kama hii huudhunisha sana.
Kama hao watu wanaoumwa kansa umewajua na umegundua uwepo wao kwanini usijitolee kuwatibu kama msaada kwanza wakati dawa yako inafanyiwa utafiti.
Pili naomba unipe uthibithisho wa mtu aliyepona hayo maradhi na leo hii ni mzima.
Naomba vibali vyako vya kazi ambavyo vitakuwa nione kama huduma yako inatambuliwa na TFDA.
Pia najua kitu kizuri huwa hakitangazwi kinajiuza (nina mashaka na dawa yako).
Kaka humu utapata tabu sana watu kukuelewa jaribu kupeleka jamii dokta huko ndio watakuelewa watu wengi huwa wanafikili kansa na kisukari aina tiba.... hata kama ukiwambia virusi vya ukimwi ni feki watu awawezi kukuelewa. Wameshakariri kwa haya magonjwa hayana dawa. Tunaangamia kwa kukosa maharifa. Kansa. Kisukari. Ukimwi. Haya magonjwa yanatibika kabisa. Ukioma ugonjwa auna dawa basi jua huo ugonjwa ni feki. Kifo na uzee ndio avina dawa. Asante sana kwa tiba yako watakaokuelewa watakaokuelewa. Wasiokuelewa wasikuumize kichwa. Nakutakia kazi njema mungu akulinde na mabaya yote.Pole sana mkandumbwe,,
Sio masihara hats kidogo, shida ipo kwenye kkulipa pesa au,,? Mimi sichukui pesa ya Mtu mpaka uijaribu dawa mwenyewe, alaf mi ndo kwanza nimegundua hii Dawa mwaka jana, kwahiyo kama kuna Mtu yeyote ambayo anateseka na kansa basi mwabie anipigie simu ili nimpe dawa anywe na apone.
Dawa iko kama asali mbichi, na Mtu anakula tone moja asubuhi, mchana na kabla ya kulala.
Ni rahisi sana kutumia dawa hii na wala sio chungu wala mbaya kwa afya, ni dawa ambayo hata Mtu asiyeumwa akiinywa hapati shida.
Nadhani umenielewa.
Kaka humu utapata tabu sana watu kukuelewa jaribu kupeleka jamii dokta huko ndio watakuelewa watu wengi huwa wanafikili kansa na kisukari aina tiba.... hata kama ukiwambia virusi vya ukimwi ni feki watu awawezi kukuelewa. Wameshakariri kwa haya magonjwa hayana dawa. Tunaangamia kwa kukosa maharifa. Kansa. Kisukari. Ukimwi. Haya magonjwa yanatibika kabisa. Ukioma ugonjwa auna dawa basi jua huo ugonjwa ni feki. Kifo na uzee ndio avina dawa. Asante sana kwa tiba yako watakaokuelewa watakaokuelewa. Wasiokuelewa wasikuumize kichwa. Nakutakia kazi njema mungu akulinde na mabaya yote.
Habari zenu Wandugu,
Ninamshukuru Mungu kwa kunipa maarifa ya kutengeneza dawa ambazo zitawaokoa watanzania wenzangu wenye matatizo ya Kansa na Kisukari.
Kansa na Kisukari ni magonjwa yanayojulikana kuwa yanasababisha ulemavu au kifo, na kwa Kansa ni pale inapokuwa imeshafikia hatua ya Ngazi ya nne (Stage 4).
Dawa za kansa zinazopatikana ni kama kansa ya maini, matiti, tezi dume (Prostate), Kibofu, Mapafu, Kongosho na Shingo ya uzazi.
Huwa inachukua hadi miezi 10 ili mtu aweze kupona kabisa, ila huwa inachukua miezi minne hadi mtu aweze kurudi kazini kama alikuwa hawezi na hoi kitandani.
Dawa inaanza kuonyesha mabadiliko kwa mtu baada ya siku nne na Mtu anaanza kupata usingizi kama alikuwa anapata usingizi kwa shida, na maumivi mwilini na uchovu mwilini huanza kuondoka baada ya siku nane tokea pale mtu alipoanza kutumia dawa.
Kwa mtu mwenye kidonda cha kansa au kisukari huwa inachukua hadi siku ishirini ili aweze kupona kabisa.
Mtu yoyote anayehitaji hizi dawa basi asisite kuwasiliana na mimi kwenye namba ya simu au email yangu hapo chini.
Email:- lemaebengmail.com
Mobile:- 0625 595557; 0656 270329
Asanteni Sana na Karibuni wote mnaohitaji huduma na pia nawashukuru kama mkiwataarifu wale wanaoteseka na wanaohitaji huduma.
Yaani una dawa ya kansa na kisukari alafu unasuasua kukarabati ofisi???? you can't be serious! Si ungekuwa ushahamia muhimbili?Mimi ninapatikana pale Mbezi Beach Jogoo, lakini bado sijaamalizia ukarabati wa ofisi yangu.
Nitamalizia ukarabati wa ofisi yangu mwakani na nitaanza kutoa dawa na ushauri ofisini kwangu.
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Kuna mama yuko hapa Moshi Uchira anaitwa bi Apasia anaziuza kwa 50 namba yake sina ila kama mtu anaumwa kansa yyte na iko serious ana hadi ward unaenda ukiwa kitandani unarudi unatembea mwenyeweHabari zenu Wandugu,
Ninamshukuru Mungu kwa kunipa maarifa ya kutengeneza dawa ambazo zitawaokoa watanzania wenzangu wenye matatizo ya Kansa na Kisukari.
Kansa na Kisukari ni magonjwa yanayojulikana kuwa yanasababisha ulemavu au kifo, na kwa Kansa ni pale inapokuwa imeshafikia hatua ya Ngazi ya nne (Stage 4).
Dawa za kansa zinazopatikana ni kama kansa ya maini, matiti, tezi dume (Prostate), Kibofu, Mapafu, Kongosho na Shingo ya uzazi.
Huwa inachukua hadi miezi 10 ili mtu aweze kupona kabisa, ila huwa inachukua miezi minne hadi mtu aweze kurudi kazini kama alikuwa hawezi na hoi kitandani.
Dawa inaanza kuonyesha mabadiliko kwa mtu baada ya siku nne na Mtu anaanza kupata usingizi kama alikuwa anapata usingizi kwa shida, na maumivi mwilini na uchovu mwilini huanza kuondoka baada ya siku nane tokea pale mtu alipoanza kutumia dawa.
Kwa mtu mwenye kidonda cha kansa au kisukari huwa inachukua hadi siku ishirini ili aweze kupona kabisa.
Mtu yoyote anayehitaji hizi dawa basi asisite kuwasiliana na mimi kwenye namba ya simu au email yangu hapo chini.
Email:- lemaebengmail.com
Mobile:- 0625 595557; 0656 270329
Asanteni Sana na Karibuni wote mnaohitaji huduma na pia nawashukuru kama mkiwataarifu wale wanaoteseka na wanaohitaji huduma.
Hi raphael,,
Kama ukisoma post zangu ni kwamba nimeshajitolea kutibu bila pesa sema ninahitaji ushahidi wa watu waliopona 50 ili niweze kupata kibali TFDA, na kwakua imeshatibu watu wachache Ndoo maana sasa ninahitaji iweze kufahamika na watu wengi.
Kingine #1. Mimi nimeajiriwa nafanya kazi na ninalipwa vizuri.
#2. Mimi siyo tapeli, hatakama mgonjwa yupo Arusha, Mwanza, Mbeya, Singina n.k.. Mimi nitamtumia dawa zangu kwa gharama zangu mwenyewe za usafirishaji mpaka kwa mlengwa.
Labda kama unataka uhakika nipigie simu ili tuongee na nikuhakikishie kama kweli mimi si muongo wala tapeli,, Bali nina ajira yangu nzuri, ila ninapenda kusaidia watu ndo maana nifanya haya.
Nadhani utakua umenielewa.