Dawa ya hormone imbalance

Dawa ya hormone imbalance

Hapa dawa ni yeye kutumia ARTIFICIAL hormones ili kuweka hiyo balance! Ila najiuliza, umejuaje kuwa tatizo lake ni hilo? Kama ni vipimo toka kwa wataalamu, kwa nini wasichukue hatua stahiki zaidi ya kukuambia kuwa ana hormone imbalance then the end of story!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni vipimo vya hosptali vya kitalaam kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito angalau Mtoto mmoja tu. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia Instagram ya Hosymichael utapata suluhisho la kudumu, believe me
 
nani kakwambia tatizo ni hormon inbalance?? kama ni hospital je wamekushauri nini? kama wameshakupa tiba na advise na hazifanya kazi endelea kuomba ushauri kwa walimwengu ila kama hijaenda hospital na unatafuta advise mitandaoni jiandae kupigwa na hao wanaojiita wataalam
 
Tumenda hospital, kapewa dawa lakini hazijamsadia. Na tumeenda hosptali nyingi sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlonge ni suluhisho la tatizo la mkeo.(Nina ushuhuda wa kutosha) Ukihitaji ni pm nikupe mlonge na maelekezo ya matumizi.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito angalau Mtoto mmoja tu. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hormobe ipi ilyo pungua?
 
Mimi siyo daktari, lakini nina ushuhuda wa tatizo hilo. Fanya hivi, atumie vidonge vya majira. Mfululizo kwa miezi mitatu tatizo litakwisha. Siku zake zitarejea.
 
Back
Top Bottom