Dawa ya hizi rashes (upele)

Kweli huenda ni scabies
 
Nimeanza itumia hii scaboma lotion toka jana, pharmacist aliniambia ni hizo scabies
 
Nimeanza itumia hii scaboma lotion toka jana, pharmacist aliniambia ni hizo scabies
Itumie ni nzuri sana. Ila ujuwe kama ni scabies basi bado una shughuli ya kuhakikisha mashuka na matandako yote unayolalia yamefuliwa vizuri sana kwa maji moto halafu upige pasi Vimelea wake aanaangamizwa kwa joto la zaidi ya 50 degrees cg. Au unaacha kuyatumia matandiko kwa muda, kwani vimelea haviwezi kuishi nje ya ngozi ya mwanadamu kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…