Dawa ya HIV iko njiani, msifunge PM jamani

Dawa ya HIV iko njiani, msifunge PM jamani

Write your reply...ije tu nitapiga kavu mpaka kieleweke ni mwendo wa nyama tu sema tu sahivi tunaadabu tunakula pipi na maganda ila ole wake itokee sitaogopa kuuza mechi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hz fununu zilishakujaga sana toka 2000 huko nishachoka kuzisikia na kuzisoma dawa ya ukimwi ni kuacha ngono zembe tu.
 
Malaria dawa ipo ila watu wanakufa kama kuku. Ni.hayo tu
 
Mzungu hawezi kutoa dawa hizi kirahisi afu zisiwe na side effect nyingine. Sasa njiasahau mpanuweeeee muone ntakavyokufa kizembe.

Kuna watu wamepata ugonjwa huu bila hatia yeyote mfano, mtoto kuzaliwa na ugonjwa, ama mwanamke kuambukizwa na mwanaume, wengine kuambukizwa makusudi, haya makundi ndio yananiuma, ila waliotanua bila kinga wajilaumu wenyewe.
 
Back
Top Bottom