Tembelea blog yetu, CORNWELL QUALITY TANZANIA pia unaweza kuwasiliana nasi kwa email cornwellquality@yahoo.com kwa msaada zaidi.
Vipi hao uliwatembelea na Vipi kuhusu dawa zao au ndo walewaleAsante elizaa,nafanyia kazi.
Acyclovir
Kwa herpes simplex huwa ni self limiting, inasumbua tu ikipata secondary bacteria infection. Kwa hiyo inategemea zipo sehemu gani. For me most of my patients huwa nawaandikia Acyclovir cream anatumia mara tatu kwa siku. Kama pana bacteria infection most common ni S. Aureus namwandikia na cloxacillin na anti pain. Amitryptline has no role in this case. I wish u best luck
Chloroquine ameshajibu tayari ni kwa ajili ya neuralgic pain,si lazima mgonjwa awe na nerves infection(shingles) kuwa na neuralgic pain.Why amytriptilline?kwani ana shingles?
Ni sawa kabisa HSV inaweza kutubiwa na high dose ya intravenous Acyclovir ila hapa kwetu sijaziona hivyo ni vidonge tu hasa kwa dose kubwa kama 800mg kila baada ya saa 6 kwa wiki 2 na pia usisahau kutibu bacteria infection kwenye ngoZi kwa antibiotic kama Flucamox caps na Amitryptiline pia ni nzuri kwa neuralgic pain hizi umeze usiku tu.
Mkuu, mbona nasikia herpes huwa haziponi, au mimi nina info za zamani?
Condition | Description | Illustration |
---|---|---|
Herpetic gingivostomatitis | Herpetic gingivostomatitis is often the initial presentation during the first herpes infection. It is of greater severity than herpes labialis, which is often the subsequent presentations. |
|
Herpes labialis | Infection occurs when the virus comes into contact with oral mucosa or abraded skin. |
|
Herpes genitalis | When symptomatic, the typical manifestation of a primary HSV-1 or HSV-2 genital infection is clusters of inflamed papules and vesicles on the outer surface of the genitals resembling cold sores. |
|
Herpetic whitlow and Herpes gladiatorum | Herpes whitlow is a painful infection that typically affects the fingers or thumbs. On occasion, infection occurs on the toes or on the nail cuticle. Individuals that participate in contact sports such as wrestling, rugby, and soccer sometimes acquire a condition caused by HSV-1 known as herpes gladiatorum, scrumpox, wrestlers herpes, or mat herpes, which presents as skin ulceration on the face, ears, and neck. Symptoms include fever, headache, sore throat and swollen glands. It occasionally affects the eyes or eyelids. |
Kwanza punguza kunywa pombe kama unatumia au soda soda pili jaribu kutumi vitamin b complex pamoja nakula vitungu thaum mara kwa maraWapendwa ktk mwenyezi,nawasalimu.
Nawasihi tusichoke kusaidiana.naomba msaada kwa anayejua dawa ya herpes simplex virus atusaidie,hata kama ni ya jadi.poleni kwa usumbufu