OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,366
- 13,340
Wafahamu watu wanaoitwa SociapathSijakuelewa
maana nimerudia rudia nimeambulia patupu...Najihisi nina kaubashite kwa mbaliiii
Hbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....
unamaana ulishampenda mtu kwa dhati tena ukampa moyo wako wote.. ila kilichotokea amekuzingua.. tena mmeachana bila ya wewe kuridhia.. sasa sisi wengine unatuchukia vp wakat kafanya hilo mmoja katika mamilioni..!!!