Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Feb 13, 2013 #41 Hili ni stafeli sio topetope.....
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Mar 9, 2013 #42 Smile said: noo haya matopetope mkuu au matimiko kwa kichaga Click to expand... hayo sio matopetope Smile ni jamii ya matopetope lakini ni stafeli .hiyo ni kama kusema jamii ya maharage na yana taste tofauti kiwirankyo,soya ,etc lakini yote ni maharagwe Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Smile said: noo haya matopetope mkuu au matimiko kwa kichaga Click to expand... hayo sio matopetope Smile ni jamii ya matopetope lakini ni stafeli .hiyo ni kama kusema jamii ya maharage na yana taste tofauti kiwirankyo,soya ,etc lakini yote ni maharagwe
Kimori JF-Expert Member Joined May 26, 2008 Posts 213 Reaction score 26 Mar 9, 2013 #43 Baada ya muda tunasahau kama hili tunda ni muhimu.