baada ya taifa la israeli kutangaza kuwa litaisaidia nigeria kuokoa boko haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. Ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!
Halafu israel ndio iliyoisambaratisha the black september mwaka 1972. Baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa israeli katika munich olyimpic , israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.
Leo hii wajuu wa abraham(waisraeli) wanaingia lagos mpaka huko beno kuhakikisha boko haram hana tena maisha marefu. Wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa boko haram.
wameishindwa hammas inayowauwa kila siku wataweza boko
Baada ya taifa la Israeli kutangaza kuwa litaisaidia Nigeria kuokoa Boko Haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia Kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!
halafu Israel ndio iliyoisambaratisha the Black september mwaka 1972. baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa Israeli katika munich Olyimpic , Israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho Abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.
Leo hii wajuu wa Abraham(waisraeli) wanaingia Lagos mpaka huko Beno kuhakikisha Boko haram hana tena maisha marefu. wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa Boko haram.
Hamas ipo palestina ila boko haram ipo Nigeria,Nigeria imetoa kibari kusaidiwa kusaka BH wakati palestina haijawahi kutoa kibali israel kuingia ndani yake kuwa saka hamas.wameishindwa hammas inayowauwa kila siku wataweza boko
mbona kule wanaingia kila wakati bila ruhusa wakiwasaka hao hammas lakini wameshindwa kuwakamata wanabaki kuwaua raia wa kawaida. Na Israel hawawezi kusahau kipigo walichopata lebanon mpaka leo wanatafakariRudia tena!!!
hawakuhusika na uokoaji wa pale watergate
wameishindwa hammas inayowauwa kila siku wataweza boko
umeniwahi nami nilitaka kumjibu hivyohivyo,anataka kudanganya watu wakati hatukulala karibu siku nne tunafuatilia issuehawakuhusika na uokoaji wa pale watergate
kwa taarifa tu wakenya waligoma msaada na walioingia ndani ya wastgate na Kenya Defence force na wale special force yao ambapo baada ya kuuliwa kamanda wao walisusa na kutoka na kuwaacha KDF ndani na hawakuokoa kitu zaidi ya kunywa pombe mle supamarket.Westgate ni ya waisraeili(60% owner/investor)na walihusika kuokoa 100%...kama haujui sema ufahamishwe!
tofautisha west bank na gaza strip.israel wanaitambua west bank,hawautambui utawala wa hamasi wa gaza kwahiyo suala la kuomba kuingia gaza halipo.kwanini huwa hawaingii wanaishia nje ya gaza?.kumbuka gaza ndipo alikua akishikiliwa yule askari wa israel kwa miaka kama mitano na hakuna mossad aliingia gaza kwenda kumkomboa mpaka walipoamua kubadilishana wafungwa.Hamas ipo palestina ila boko haram ipo Nigeria,Nigeria imetoa kibari kusaidiwa kusaka BH wakati palestina haijawahi kutoa kibali israel kuingia ndani yake kuwa saka hamas.
Hii ndo tofauti kubwa.