Dawa ya babu inanitesa

Dawa ya babu inanitesa

We acha chai zako...juzi kati si ulikuwa unatafuta mademu ww...mtaan kwako unashindwa mpaka unatafuta wa mtandaoni .....sio ww??
 
Wewe dogo hizo fiksi zako waambie wadogo wenzio maana maelezo yako yanaonesha kuwa ni lazima uanze kumtongoza msichana kwanza ndiyo akubali sasa hiyo ya dada yako kukupenda mbona ipo kinyume? Yaani hujamtongoza bali yeye ndiye anakutamani.Njia ya muongo ni fupi, waswahili walisema.
 
We acha chai zako...juzi kati si ulikuwa unatafuta mademu ww...mtaan kwako unashindwa mpaka unatafuta wa mtandaoni .....sio ww??

huyu dogo anazingua, na story yake ya kutunga ...........
 
Mwanzo ulienda kwa 'babu' sasa inabidi uende kwa 'bibi' eti eeeeehhhh?
 
Mambo ya Shetani lazima yaendane na ushetani shetani tuu.
 
Hiyo dawa naifahamu. Sasa inakaribia kufika mwisho wake. Ukimlamba huyo dadako ndiyo mwisho wake. Baada ya hapo usitegemee kupata warembo ovyoovyo tena maana sasa umechakaa. Na kama hujachugua wa kuoana naye, utakuwa na kazi kubwa ya kumpata
Jamani nimecheka ulichomuambia hadi mbavu zinauma jf noma sana.
 
mambo yatakua magumu pale ukirudi kwa babu akakumbia ili dawa ipoe au kuisha inabidi utimize agizo la sheria mpya huko marekani ambayo africa wengi hatutaki kabisa kuisikia...hehehe polee 😛oa
 
Habari wakuu,

Natumaini mko poa,nilipokuwa kijana na balehe nilikuwa napenda sana wasichana, yaani nilikuwa natamani sana wanawake wazuri wote wawe wangu, siku mmoja niliposafiri kwenda kijijini kwetu, nikakutana na vijana wa kule kijijini tulikuwa tunapiga story kuhusu mambo ya wasichana, ndipo tukafikia hizo story za kutumia madawa kuwavutia wanawake ndipo kijana mmoja akaniambia babu yake ana dawa nzuri sana ya hizo mambo.

Kwa vile kipindi kile nilikuwa napenda sana wasichana nilimwambia anipeleke kwa babu yake nikachukue hiyo dawa, nilipofika kule nikamwambia yule babu shida yangu ya kupata dawa ya mvuto kwa wasichana, yule babu akaniambia ana dawa mbili ya kuoga na ya hirizi nichague ipi, nikachagua ya hirizi, akaniambia natakiwa nimeze hiyo hirizi ndogo na akanipa na dawa ya maji ninywe ikiwa imechanganywa na damu sijui ni ya mnyama gani.

Baada ya kumeza hirizi na kunywa ile dawa ya maji, yule babu akaniambia kuanzia siku hiyo hakuna mwanamke atakaye nikataa nikimtongoza. Sasa imepita miaka kumi na moja, sijawahi kukataliwa na mwanamke yoyote niliyemtongoza na nimeshakula pesa za wanawake wengi.

Sijawahi kumuomba hela mwanamke akaninyima labda asiwe nayo. Sasa hivi juzi kati, dada yangu nae ameanza kunitongoza anadai anavutiwa na mimi kimapenzi, anasema amevumilia sana ameshindwa imebidi aniambie, najaribu kumuepuka lakini wapi.

Jamani hii dawa inanitesa sana, najuta kuitumia. Imenifikisha pabaya.

Naombeni ushauri wenu.

natamani na mimi ningeipata je nitaipataje
 
Tubu na kuiamini Injili! Ukiombewa hiyo dawa itaisha nguvu. Kumbuka kuna magonjwa usijisifu kwa kutembea na wanawake ukasahau kuwa kuna UKIMWI
 
Jamani fukunyueni posti zingine za huyu dogo wa matombo maana kazidi na stori zake za uongo Tyta
 
Last edited by a moderator:
bora umeleta ujinga wa huyu dogo. Maana juzi kati anatafta mchumba leo dawa ya babu? Si akaoe hao wanaomfata??

Mm juzi kati nilimuuliza mtu kimzaa baada ya kusoma matangazo kibao hum jf nikamuuliza mtu hivi "unaweza kukutana na mtu jf anaejielewa?" kiufupi alinuna ila maana yangu ilikuwa ni hii matangazo kibao ujinga mwingi. Na kweli mtu kama huyu akipata lazima apate mjinga mwenzie loh.

We pimbi kweli,jf ni sehemu ya kupunguzia stress,hasa kwenye jukwaa la mahusiano,inshort sija jizungumzia mmi nimechukua uhuska wa mtu mwenye hayo matatizo ili niweze kumshauri,usikariri wwe!
 
Back
Top Bottom