kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,125
Last edited by a moderator:
Baada ya kumeza hirizi na kunywa ile dawa ya maji, yule babu akaniambia kuanzia siku hiyo hakuna mwanamke atakaye nikataa nikimtongoza, sasa imepita miaka kumi na moja sijawahi kukataliwa na mwanamke yoyote niliyemtongoza na nimeshakula pesa za wanawake wengi, sijawahi kumuomba hela mwanamke akaninyima labda asiwe nayo, sasa hivi juzi kati dada yangu nae ameanza kunitongoza anadai anavutiwa na mimi kimapenzi, anasema amevumilia sana ameshindwa imebidi aniambie, najaribu kumuepuka lakini wapi?
Jamani hii dawa inanitesa sana najuta kuitumia imenifikisha pabaya.
Naombeni ushauri wenu
Malizia stori na babu aliyekupa dawa kafariki....unalo hilo lazima na vidume waanze kukutaka!!
ale kabisa tu naona imekuja kwenye sahaniamtongoze au ale kabisa-🙂
ale kabisa tu naona imekuja kwenye sahani