Dawa ya babu inanitesa

Kivipi tena dawa inakuwa huyo dadako sio msichana......mlambe pesa ikiwezekana!
 
Cha msigi ni hivi; nenda kwa babu ukamwambie akurekebishie hiyo dawa ikiwezekana aitowe tuboni mwako, huo ndo msaada wako. Tofauti na hapo hakuna kitu kitakachokusaidia tena, maana tayari hadi dada yako kakutamani, itafikia pabaya. Ni hayo tu kaka.
 

https://www.jamiiforums.com/love-connect/852988-natafuta-mchumba-msichana-mwenye-sifa-zifuatazo.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...angamoto-za-kupata-wachumba-wa-mtandaoni.html
 
Ningechangia ila sentensi hii imenitoa kwenye mawazo kabisa.....Unajaribu kumuepuka lakini wapi?
Ni dada yako kivipi labda?

''Sasa hivi juzi kati, dada yangu nae ameanza kunitongoza anadai anavutiwa na mimi kimapenzi, anasema amevumilia sana ameshindwa imebidi aniambie, najaribu kumuepuka lakini wapi.''
 
Hiyo dawa naifahamu. Sasa inakaribia kufika mwisho wake. Ukimlamba huyo dadako ndiyo mwisho wake. Baada ya hapo usitegemee kupata warembo ovyoovyo tena maana sasa umechakaa. Na kama hujachugua wa kuoana naye, utakuwa na kazi kubwa ya kumpata
 

bora umeleta ujinga wa huyu dogo. Maana juzi kati anatafta mchumba leo dawa ya babu? Si akaoe hao wanaomfata??

Mm juzi kati nilimuuliza mtu kimzaa baada ya kusoma matangazo kibao hum jf nikamuuliza mtu hivi "unaweza kukutana na mtu jf anaejielewa?" kiufupi alinuna ila maana yangu ilikuwa ni hii matangazo kibao ujinga mwingi. Na kweli mtu kama huyu akipata lazima apate mjinga mwenzie loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…