Dawa salama ya kudhibiti michepuko hatimaye yapatikana

mzalendo91

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
430
138
Dunia ina mambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls' yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli. Mdoli wa ngono Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya kwanza.

Midoli hiyo imepewa jina la ‘Dutch Wives', na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja. Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka viungo ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika
position atakayo.

CHANZO: Daily Mail




Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Wengine tunafuataga maneno wanayotoa wanawake waqt wa tendo. midoli yako itakua inaweza kusema unaniumiza au tia taratibu au . itakua na joto la kutosha ??kupangusa je ? Hakuna mfano wa mwanamke wewe......hasa wa kitanzania aliyepania umjengee nyumba mjini.
 
Dunia kwishnei kwa hiyo tutakuwa hatutamaniwi tena mwe!Haya sasa tutafanyaje?

Eeh!!! Kidogo soko lenu likishuka itabid na nyie pia muwe mnapambana kusaka wanaume.

Ambapo itafikia hatua mwanamke ndiyo atakayekuwa na jukumu la kumtongoza mwanaume


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
It's like having sex with female corpse!! Kweli dunia ina mambo..na bado yanakuja mengi zaidi.
 
sasa maneno yale yale kila siku si utachoka kwa kweli

Mdoli watamwekea artificial intelligence pia na kukupa option ya kusave baadhi ya maneno ambayo unapenda awe anakutamkia wakati ukiwa unavunja chaga za kitanda


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Back
Top Bottom