Dawa: meno yangu yananiua jamani.

herikipaji

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
1,198
1,365
Nasumbuliwa na ugonjwa wa meno kuna meno mawili siku moja nilinunua bites uswahilini nilitafuna bahati mbaya yule mama bites zake zilikuwa na mawe, nilivyotafuta niliumia sana jino likaanza kuhisi joto na baridi.

Hatimaye likatoboka nilienda hospitali nikapimwa na kuambiwa nahitajika kuziba sababu halijaharibika nilifanya hivyo sasa nilirudi tena hospitali kuziba baada ya yale material kuisha muda wake, muda huu nimeziba lakini naskia maumivu makali sana na hata kutafuna siwezi tena sijui nimezidiwa sana nguvu sina.

Naomba msaada wenu kwa ajuaye chochote tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom