Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
bora umemkumbusha besti 🙂Na amesahau kama sio kutojua kuwa hospitali huwa wanapima "fertility"...
Would have been a million dollar piece of an advice kama angeshauri watu wapime issues za fertility kabla ya ndoa...badala ya hii mambo ya watu kuchakachuana lol!!!