piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 613
jaribu kuushirikisha ubongo wako zaidi mkuu,..
Hahahaha, JF
jaribu kuushirikisha ubongo wako zaidi mkuu,..
Stop complicating things!!!hakuna asiyetaka Kuzaa kila mtu anapenda awe fertile!!sio fresh kuwanyanyapaa hao wasioweza kupata watoto kwani wao walipenda kuwa hivyo!!Kama mtu hazai kuna njia za kusuluhisha sio eit umecheki kama mtu ana uwezo wa Kuzaa au lah...people should stop playing GOD!!!!!raha ya ndoa iko wapi kama siyo kuwa na watoto??
Stop complicating things!!!hakuna asiyetaka Kuzaa kila mtu anapenda awe fertile!!sio fresh kuwanyanyapaa hao wasioweza kupata watoto kwani wao walipenda kuwa hivyo!!Kama mtu hazai kuna njia za kusuluhisha sio eit umecheki kama mtu ana uwezo wa Kuzaa au lah...people should stop playing GOD!!!!!
siyo zinaa, vilio vimezidi na kama wote watakuwa fiti si watajenga familia jamani!!
Baada ya kutishiwa pisto umeacha kunyegesha watu Jf eeenh..SafiDini imekataza kuzaa nje ya ndoa.
Unataka kuhalalisha zinaa?
Baada ya kutishiwa pisto umeacha kunyegesha watu Jf eeenh..Safi
Inategemea unatafsiri ndoa kwa mtazamo upi au ndoa kwako ni kitu gani.
Ni ukweli kwamba watoto ni zao au tegemeo muhimu sana kwenye ndoa lakini sio msingi wa ndoa. wangapi wana watoto na ndoa zimevunjika au hawana amani na ndoa zao?
Mmekutana na kupendana wawili, mkaamua kuoana wawili, watoto watakuja panapomajaaliwa watawakuta wawili, mtawalea na kuwakuza panapo majaliwa wawili kisha watawaacha na kwenda kuendeleza maisha yao na kubaki tena wawili.
Kisingizio cha kupata watoto nje ya ndoa kwa kujihakikishia ndoa yenye amani hakijajitosheleza bado.
Wanaopata maradhi/matatizo yanayoweza kuwasabishia kutokua na uwezo wa kuzaa na tayari wapo kwenye ndoa, unawashauri ndoa zivunjike?
and u think its appropriate impregnating someone before marriage just to check if they are fertile?Hata hao wazungu wenyewe hawafanyi hivo hizi fikra nyingine potofu kabisa...sie watoto wa siku hizi(this generation) is a disaster!!this is an open advice, everyone can take it in different ways!!
hapana ushauri wangu haujalenga kuvunja ndoa za watu mnielewe wakuu, nimeleta hii thread hapa jamvini tushauriane!! I did not conclude anything on it!!
hapana mkuu nadhani upeo wako umefikia limit,..
and u think its appropriate impregnating someone before marriage just to check if they are fertile?Hata hao wazungu wenyewe hawafanyi hivo hizi fikra nyingine potofu kabisa...sie watoto wa siku hizi(this generation) is a disaster!!
Na amesahau kama sio kutojua kuwa hospitali huwa wanapima "fertility"...
Would have been a million dollar piece of an advice kama angeshauri watu wapime issues za fertility kabla ya ndoa...badala ya hii mambo ya watu kuchakachuana lol!!![/QUOTE
]
kila thread ina target yake mkuu,. Huwezi dedicate mawazo yako kwa mtu aanzishe thread unayoitaka wewe,. Kama vipi anzisha yako mkuu