Dawa gani nzuri ya kutibu Fungus?

Dawa gani nzuri ya kutibu Fungus?

Kiwango cha "Viua fangasi" kilichomo ndani yake, hakitoshi kukusaidia wewe mwenye Fangasi sugu.

Na fangasi wako saizi kwa usugu huo watakua tayari wameshaingia damuni.


Ivo sio tu upate dawa ya kupakaa, bali upate na za kunywa kama nilivyokuelezea.
Mimi sina fangasi mkuu.... Mm sio mtoa mada... Umechanganya

Mm nilitoa comment kwa kuuliza swali tu ..
 
Dada unajua jinsia ya mleta mada? Mbona kama unamuuzia product za kusafisha kwa shangazi? Alafu hizo ni kwa ajili ya hygiene tu sio indicated kwa matibabu...

Inatumika kwa me na ke…
Nafahamu hilo kabisa
 
Back
Top Bottom