SHADRACK LUTOBECK
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 129
- 18
Bawasila ni ugonjwa unaosumbua watu wengi, husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfreji wa haja kubwa. Kuna aina mbili za bawasila nazo ni,
(1)kinyama kirefu kinachoota kutoka ndani ya njia ya haja kubwa,
(2)kinyama kinachoota pembezoni mwa mzunguko wa njia ya haja kukwa.
Vitu vinavyoweza kusababisha bawasila ni;
(1)Kuharisha mara kwa mara
(2)kupata kinyesi kigumu
(3)Uzito kupita kiasi
(4)Ngono kwa njia ya haja kubwa
(5)umri mkubwa
(6)kubeba vitu vizito n.k.
Dalili za Bawasila ni;
(1)Kujisaidia choo chenye harufu kari
(2)Ngozi kuwasha kuzunguka eneo la haja kubwa
(3)kujitokeza kinyama wakati wa haja kubwa
(4)uvimbe katika eneo la tundu la hajakubwa.n.k.
Kama unasumbuka na kutaabika na ugonjwa huo basi umepona. Nina dawa ya asili aina ya KANGA YONZE,ni dawa inayotibu na kundoa tatzo hilo kwa mda wa wiki nne(4)tu.
Ni ya kupaka kutwa mara tatu, ukianza kutumia dawa hii ndani ya mda wa wiki mbili utaona mabadiliko makubwa mno, kama unateseka na ugonjwa huu nitafute,
.0759217720.