Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.
Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM
"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"
Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.