Davido feat Joh Makini

Davido feat Joh Makini

sabari

Senior Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
153
Reaction score
53
Coming soon wadau.
Source• Twitter page and Instagram page of Joh and Nhareel.
GMF
 
Unajuwa huyu davido ameshaelewa kuwa Tanzania ni nchi iliyo n active fanbase kuliko nchi yoyote Africa..

Ukiachana na masuala ya kupigiwa kura, mwezi huu pia aliahidi ndio ata release album yake, the same to wizkid.. Na kikubwa kuliko vyote ni kupata attention maana anajuwa akishaishika tanzania kwa kuteka mashabiki wa wasanii wote wakubwa atakuwa amewin saana

We jiulize
......Siku ya mtv mama alipost kuwa august davido ft. wizkid itakuwa out lakini holaaaaaaa
......Siku hiyohiyo diamond alipost video ambapo davido akasema kuwa davido ft diamond itakuwa out august lakini holaaaa
......Baada ya wiki hivii tukaona clip akisema anamshirikisha tena alikiba itatoka august hahahah lakini holaaaa

.......leo imekuja mpyaaaa, JAPOKUWA NINAMSIFU SANA JOH MAKINI MAFANIKIO ALIYOPIGA MAKUBWA SANA

Usishangae akamchukuwa WEMASEPETU kwenye video yake mpya tena coming soon kama video model hahahhahahahah
 
huyu jamaa anatafuta umaarufu sasa na mashabiki wengi kwa njia hii
 
It might be true. Ila cha msingi anakuwa amemtangaza Joh makini west na fanbase yake kijumla. So far kuhusu kuzitangaza na kutotoka ni kitu cha mipango tu. kama ile na AliKiba ni vitu vilivyopo kwenye plan zake si lazima zitoke haraka. This won't make him gain a vote from us may be for kwa kina K4Real.
 
Mi naamini joh anajua ndo maana mtu alietoka kufanya collabo na meek mill ameona joh ni mtu mwingine anae deserve kufanya nae kaz,hii ni faida kubwa kwa bro
 
Collaboration zote za davido zinawezekana ila davido ft wizkid labda rais wa nigeria aingilie kati #yaagaah
 
Unajuwa huyu davido ameshaelewa kuwa Tanzania ni nchi iliyo n active fanbase kuliko nchi yoyote Africa..

Ukiachana na masuala ya kupigiwa kura, mwezi huu pia aliahidi ndio ata release album yake, the same to wizkid.. Na kikubwa kuliko vyote ni kupata attention maana anajuwa akishaishika tanzania kwa kuteka mashabiki wa wasanii wote wakubwa atakuwa amewin saana

We jiulize
......Siku ya mtv mama alipost kuwa august davido ft. wizkid itakuwa out lakini holaaaaaaa
......Siku hiyohiyo diamond alipost video ambapo davido akasema kuwa davido ft diamond itakuwa out august lakini holaaaa
......Baada ya wiki hivii tukaona clip akisema anamshirikisha tena alikiba itatoka august hahahah lakini holaaaa

.......leo imekuja mpyaaaa, JAPOKUWA NINAMSIFU SANA JOH MAKINI MAFANIKIO ALIYOPIGA MAKUBWA SANA

Usishangae akamchukuwa WEMASEPETU kwenye video yake mpya tena coming soon kama video model hahahhahahahah

Umeanza na kwenda vizuri ila umekuja kuharibu hapo mwisho ulipotaja hilo jina la video queen😨
 
Davido kuimba na mtu asiyejulikana hata kenya ni kujidhalilisha!!

Vaa miwani usione gere we endelea kulemaa hapo wakati mweusi anaonesha jitihada.
NAMWONA JOH MBALI SANA NI MTU ANAEPENDA KUENDELEZA MUZIKI WAKE. ALL THE BEST!!!!
 
Davido ft. Kiba labda inawezekana fanyika outer space, sayari ya mars huko.
Wizkid anaweza fanya collabo hata na ommy dimpoz ila sio davido coz wana bifu zito sana linalochochowa na mashabiki hasa katika suala la tuzo "
 
Back
Top Bottom