Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 944
tz ndo maana hatuendelei wivu;chuki,vijicho,husdaa vimetujaaa.wenzetu linapokuja suala la taifa kwa ujumla zile chuki zao binafsi huziweka kando na kuangalia utaifa kwanza...ndo maana kila siku watazidi kuwa juu ss mkiani kwa kila kitu...
Uwiii basi hatuna tena jkt, uwiiii nalala natabasamu nightmare zinatoka wapi, yaani ndoto zangu now ni za furaha tu, nightmare nawaachia, by the way ugua pole na usiku mwema mzalendo
Hatuna jkt ulishawahi hata kufika geti la kambi ya jeshi hahahahah hata harufu ya jeshi hujui hahahhhahah.Sijui inanukianukiaje?.
Vipi nightmares za mondi bin laden.
Kiruuuuuu! Kapige kura huko mzalendo, mie mzalendo unaona nakukumbusha kupiga kura!! Nightmare nimekuachia mzee wa lambojini
Umeona eeeeeeh! Hatuwezi kuendelea kwakweli(kwa hivyo vigezo ulivyotaja mwanzoni) alafu ndio tunajifanya tunakuza muziki, hivyo vitu vipingwe basi kwa wanamuziki wote huo ndio uzalendo wa kweli, tuweni wazalendo tusiwabague wanamuziki wetu, na sio uzalendo wa kinafiki pale mtu wenu mnapoona limemfika kooni ndio mnakumbuka sisi wote ni watz, na hilo likianzia kwenu aiseee safi sana.
Kwakweli hataki shobo watz wamejaa kwenye page yake kama nyuki vile cha ajabu hamna wanachoongea zaidi ya matusiKawajibu watanzania
View attachment 261072
Haya usisahau kumpigia kura Diamond. Unaweza kupiga kura mara nyingi kwa kika moja.
MAMA 2015
View attachment 261073
Kwakweli hataki shobo watz wamejaa kwenye page yake kama nyuki vile cha ajabu hamna wanachoongea zaidi ya matusi
Jana nmecheka sana kuna mtz mmoja alikuwa anamsimlia davido why watz wanapigia kura eti sababu diamond kamuacha wema baadhi ya maneno yake yalikua "diamond left wema, that woman is not a wife she is selling her body" jamani nlicheka mume kweli kuna watu wamedataHahahahah wanajipendekeza tu huku hawataki kule hawatakiwi hahahahah tabu sana
Wakiambiwa hawajielewi wanang'aka utadhani machizi hahahahah so sad my fellow Tanzanians what a shame!!!
Jana nmecheka sana kuna mtz mmoja alikuwa anamsimlia davido why watz wanapigia kura eti sababu diamond kamuacha wema baadhi ya maneno yake yalikua "diamond left wema, that woman is not a wife she is selling her body" jamani nlicheka mume kweli kuna watu wamedata
We naweeee, wapi wema alianzisha hilo unaloliongelea!!! Mnatafuta mchawi bado tu!!! Alafu mnajifanya wazalendo ilhali bado mwawadharau watanzania wenzenu!!
​duuuh na wewe si umejiunga leo tu hapa JF kuja kutetea jahazi la domondo...muelezeni kwanza huyo aache huo mdomo mchafu kama mbuzi then ndo mjee mumtetee huku otherwise imeshakula kwake DAVIDO tuu hamna cha uzalendo wala mavi yake na uzalendo hapa nyooooo.