Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,679
- 149,870
Hivi kwa nchi kama yetu unaweza kununua ndege mbili kubwa ndani ya muda mfupi(kufikia mwezi Septrmber) bila kuathiri sekta zingine?
Bilioni 500 fedha za ndani zinaweza kupatikana bila kuleta athari katika sekta nyingine?
Makusanyo ya TRA yanaruhusu kutoa bilioni 500 kwa ajili ya ununuzi wa ndege 2 za ATCL na kila kitu kikaenda sawa?
Nimeweka hii clip hapa kama chanzo cha taarifa ya kutumia bilioni 500 fedha za ndani kununulia hizo ndege unless fedha hizi ziwe ni pamoja na mikopo ya ndani(bahati mbaya hii clip haifafanuia)