David Moyes kuwa kocha mpya wa Man Utd

David Moyes kuwa kocha mpya wa Man Utd

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
_67488874_dmm.jpg

David Moyes anategemewa kuteuliwa kuwa kocha mpya wa Mancheter United.

Moyes atachukua nafasi ya Sir Alex Ferguson aliyetangaza kustaafu mwishoni mwa msimu huu.

Taarifa rasmi ya kuteuliwa Moyes itatolewa kesho mchana.
 
As former United manager Tommy Docherty said "If it is David Moyes then I congratulate him and feel sorry for him. How can you follow the impossible?"
 
Afadhali maana hicho kibabu sigara kimetuchosha.
 
Lazima utakuwa Liverpool wewe. Ni relief kubwa sana kwa Liverpool.

Ferguson anaondoka Man Utd. Moyes anaondoka Everton.

Liverpool wanataka tena nini zaidi hapo? Ole wao wavurunde tena msimu ujao.

Kutakuwa tena hakuna excuse maana hata David Gill aliyekuwa analalamikiwa kuwanunua marefa nae anastaafu msimu huu.

Two or three biggest threats wa Liverpoll ndo hivyo wanaachia ngazi.

Hakyanani tena mshindwe wenyewe msimu ujao. cc. Pazi
 
Tena aende kabisa huyu kikongwe, labda Manure wataanza kucheza mpira wa kujitegemea badala ya kutegemea kubebwa na marefa na Ferguson Association (FA).
 
Duh! Pale Old Trafford huwa wanasema kuwa "no one is bigger than the club."

This includes Sir Alex Ferguson.
 
Lazima utakuwa Liverpool wewe. Ni relief kubwa sana kwa Liverpool.

Ferguson anaondoka Man Utd. Moyes anaondoka Everton.

Liverpool wanataka tena nini zaidi hapo? Ole wao wavurunde tena msimu ujao.

Kutakuwa tena hakuna excuse maana hata David Gill aliyekuwa analalamikiwa kuwanunua marefa nae anastaafu msimu huu.

Two or three biggest threats wa Liverpoll ndo hivyo wanaachia ngazi.

Hakyanani tena mshindwe wenyewe msimu ujao. cc. Pazi

Msimu ujao mambo yote Chealse mazeee!!!
Morinho ndani, anambakiza Lampard na Torres, anamleta Londawsk anatuletea Ronaldo. anatuoneza na Di Maria
Yaaanii ngoma inogile mwakani EPL.
 
Man U siipendi lakini hiki kibabu sikipendi zaidi. Manchester sita kwisha habari yao
 
Msimu ujao mambo yote Chealse mazeee!!!
Morinho ndani, anambakiza Lampard na Torres, anamleta Londawsk anatuletea Ronaldo. anatuoneza na Di Maria
Yaaanii ngoma inogile mwakani EPL.

Ndio unavyojidanganya ivyoo eeh? So bila ya Mourinho hambebi kombe? Kwa taharifa yako Man utd tutaendeleza ibabe wetu tena kwa nguvu kuliko awali, poor chelsea, msimu wa pili huu mnaangaika kushiriki top 4 msimu wa pili sasa
 
Man Utd should loan David Moyes to Schalke for Champions League experience.
 
kwani nikisemea humu knweny michezo nimekumiss ni kosa???

Hakuna noma, ila uwe sensitive kidogo maana kuna mashetani mekundu humu hayana raha tokea jana baada ya shetani wao mkuu kutangaza rasmi jana kuwa anamrudia Mungu.
 
Lazima utakuwa Liverpool wewe. Ni relief kubwa sana kwa Liverpool.

Ferguson anaondoka Man Utd. Moyes anaondoka Everton.

Liverpool wanataka tena nini zaidi hapo? Ole wao wavurunde tena msimu ujao.

Kutakuwa tena hakuna excuse maana hata David Gill aliyekuwa analalamikiwa kuwanunua marefa nae anastaafu msimu huu.

Two or three biggest threats wa Liverpoll ndo hivyo wanaachia ngazi.

Hakyanani tena mshindwe wenyewe msimu ujao. cc. Pazi
Kwani Mwalimu Nyerere alipong'atuka hakujihusisha na shughuli za Serikali? Waulize akina Lowasa, Kikwete na wenzake enzi hizo kiliwakuta nini mpaka wakawa hawafurukuti kwenye siasa.

Tukirudi kwa Sir Ferguson, kumbuka huyo ni Baba wa Taifa la Manchester United, na ndiye aliyeletea heshima hata katika jiji la Manchester, sio hao maji kupwa maji kujaa MAN CITY wenu.

Hata hivyo anayeng'atuka ni kocha na siyo wachezaji, VAN PERSIE na wenzake waliochapa hao kina Liverpool nyumbani kwao na OT na kuchukua ndoo yenye madini kabla ya msimu kuisha ni wale wale, wajiandae vichapo kama kawaida.
 
Ndio unavyojidanganya ivyoo eeh? So bila ya Mourinho hambebi kombe? Kwa taharifa yako Man utd tutaendeleza ibabe wetu tena kwa nguvu kuliko awali, poor chelsea, msimu wa pili huu mnaangaika kushiriki top 4 msimu wa pili sasa
Huyo Uchaguzi asitake kuchekesha walionuna, tumeshazoea maneno yao hata walipomchukua yule mvaa maski walisema hayo hayo lakini leo hii tunashuhudia wakigombania nafasi ya nne. Shame...
 
Back
Top Bottom