David Moyes kuwa kocha mpya wa Man Utd

David Moyes kuwa kocha mpya wa Man Utd

He he he, lts wait and see

Labda anayekuja naye akabidhiwe na Fagasoni kwenye hiyo 'football crime syndicate'

Atakabidhiwa hii hairdryer

_67493311_thesun.jpg
 
Kwani Mwalimu Nyerere alipong'atuka hakujihusisha na shughuli za Serikali? Waulize akina Lowasa, Kikwete na wenzake enzi hizo kiliwakuta nini mpaka wakawa hawafurukuti kwenye siasa.

Tukirudi kwa Sir Ferguson, kumbuka huyo ni Baba wa Taifa la Manchester United, na ndiye aliyeletea heshima hata katika jiji la Manchester, sio hao maji kupwa maji kujaa MAN CITY wenu.

Hata hivyo anayeng'atuka ni kocha na siyo wachezaji, VAN PERSIE na wenzake waliochapa hao kina Liverpool nyumbani kwao na OT na kuchukua ndoo yenye madini kabla ya msimu kuisha ni wale wale, wajiandae vichapo kama kawaida.

teh teh teh teh...
 
Namshukuru sana mleta mada kwa kutambua umuhimu wa Sir Alex Ferguson kama Baba la soka England na dunia nzima. Ni kocha mmoja tu duniani aliyeng'atuka kwa heshima kama yeye, ni kocha pekee duniani aliyemteua mrithi wake yeye mwenyewe. Wengine wote ni "Hired to be Fired".

Wamepita makocha wengi wenye mbwembwe waliotaka kushindana na hiki chuma cha pua lakini mwisho wao wa aibu tuliuona, waengine waliingia England kwa mbwembwe wakaishia kutupiwa Mifuko ya Rambo nje. Wengine kwa njaa zao kali tunawaona na kusikia wanataka kurudi walikotupiwa mifuko yao ya Rambo.

Wengine wanaofanana na Mr. Bean wanajifanya kutafuta faida na sio vikombe kwa miaka takribani 8 sasa wakati utajiri wao bado haufikii hata nusu ya Wazee wa Old Traford na Vikombe vimejaa Makabatini.

Ingekuwa Sir Alex Ferguson hana Title kubwa namna hii huyu mleta mada ambaye naye kwa michango yake anaonekana kabisa pia ni mwathirika wa vipigo mujarabu kutoka kwa Wazee wa OT chini ya uongozi imara wa International Soccer Legend, Sir Alex Ferguson asingeleta hoja hii hapa.

Mtoa hoja na wenzake waliochangia "negatively" hapa tunawashukuru pia maana mnachangia hoja kama hii kwa mara ya kwanza na haitatokea tena mpaka mtakapokufa.

Tunahitaji michango mingi ili ilingane na wingi wa heshima aliyonayo Mheshimiwa Meneja Sir Alex Ferguson.
 
The only thing ambacho UNITED HATERS HAWAKIONI ni kuwa SAF created a footbal club and not a football team. Loyalty is what SAF wants and what gives United Success. His Legacy wil still be there, and his shadow will still manage the club FYI. Sasa problem ni kiwa hizi club nyengine hazina Loyal players, kwaiyo they got a team but not a club. Moyes hajawahi kuchukua kombe hata moja, but just imagine the success Everyon enjoyed with a daaaamn low budget wich he couldnt even compete with the likes. Now Moyes is at the club where he can enjoy tha big budget from the club, enough for him to make a team that Liverpool fans might wana end their lives. This is not the end of United, its a new Beginning!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
The only thing ambacho UNITED HATERS HAWAKIONI ni kuwa SAF created a footbal club and not a football team.

That's true. Moyes needs to maintain that institution and keep it going at its very best kama alivyofanya Fergie.
 
Yeah!! Ni MORE YES!!! Wanaomdharau waendelee ila Man UTD itaendelea kutawala soka la Uingereza kwa miaka mingi ijayo! DAVID MORE-YES anatakiwa tu apewe uhuru wa maamuzi.
 
Back
Top Bottom