grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mkuu ni kawaida hata hapa Bongo Francis Cheka atakapo jiuluzu Boxing itakuwa hivyo hivyo kwa akina Mchumia tumbo, Machali, Mtambo wa gongo na wenzake waliowahi kubondwa mara mbilimbili. Sir Ferguson amewafanya watu vibaya mpaka sasa wamepunguza kuvaa mijezi yao mitaani, kila mtaa sasa hivi ukipita ni Glory, Glory, Glory, Glory.......Naona wazee wa kupewa vichapo na Man United chini ya Ferguson wamefurahi kweli!