MAGEUZI KWELI JF-Expert Member Jul 16, 2011 1,947 253 Dec 7, 2013 #1 Is too much. Team zinazoonekana vibonde ndiyo zinailiza Man U. Moyes hana sababu ya kubakia Manchester United...Bye Bye Moyes Attachments 1386427019114.jpg 86 KB · Views: 344
Is too much. Team zinazoonekana vibonde ndiyo zinailiza Man U. Moyes hana sababu ya kubakia Manchester United...Bye Bye Moyes
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Feb 12, 2012 12,013 10,170 Dec 7, 2013 #2 Uingereza hata kibonde hung'ang'ania wakubwa
Genekai R I P Feb 9, 2010 12,517 4,987 Dec 7, 2013 #4 Hahahahaaaa aaaa, mtajibeba msimu huu!!!!! Unavyosema Bye bye utadhani unao uwezo wakupiga kura yakumwondoa OT .Vumilieni!!!
Hahahahaaaa aaaa, mtajibeba msimu huu!!!!! Unavyosema Bye bye utadhani unao uwezo wakupiga kura yakumwondoa OT .Vumilieni!!!
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Apr 26, 2008 1,549 491 Dec 7, 2013 #5 mlevi kaanguka wacha awahiwe kabla ya kupata fahamu mwaka huu
Munabusule JF-Expert Member Oct 28, 2013 976 491 Dec 7, 2013 #6 Dmoyes must go. He is too low at manu.he does not deserve to be named as Manu manager.
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Dec 7, 2013 #8 kwani yeye ndio anacheza au wachezaji? kama amewapeleka punda mpaka kisimani kunywa maji na wakafika kisimani wakagoma kunywa yeye afanye nini? wanafunz wakifell mbona waalimu hawafukuzwi.
kwani yeye ndio anacheza au wachezaji? kama amewapeleka punda mpaka kisimani kunywa maji na wakafika kisimani wakagoma kunywa yeye afanye nini? wanafunz wakifell mbona waalimu hawafukuzwi.
A Asamwa JF-Expert Member Apr 13, 2012 3,599 2,293 Dec 8, 2013 #9 Munabusule said: Dmoyes must go. He is too low at manu.he does not deserve to be named as Manu manager. Click to expand... Nakubaliana na wewe. Ana wachezaji wengi wazuri lakini kwenye upangaji wa timu anafanya madudu!
Munabusule said: Dmoyes must go. He is too low at manu.he does not deserve to be named as Manu manager. Click to expand... Nakubaliana na wewe. Ana wachezaji wengi wazuri lakini kwenye upangaji wa timu anafanya madudu!