David Moyes....kafeli

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Is too much. Team zinazoonekana vibonde ndiyo zinailiza Man U. Moyes hana sababu ya kubakia Manchester United...Bye Bye Moyes
 

Attachments

  • 1386427019114.jpg
    1386427019114.jpg
    86 KB · Views: 344
Hahahahaaaa aaaa, mtajibeba msimu huu!!!!! Unavyosema Bye bye utadhani unao uwezo wakupiga kura yakumwondoa OT .Vumilieni!!!
 
kwani yeye ndio anacheza au wachezaji? kama amewapeleka punda mpaka kisimani kunywa maji na wakafika kisimani wakagoma kunywa yeye afanye nini?

wanafunz wakifell mbona waalimu hawafukuzwi.
 
Back
Top Bottom