Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,981
- 2,359
Asante sana kwa ufafanuzi Mkuu,mie pia nilishangaa sana mtu kukutwa na hatia kabla ya hukumu!
Asante sana kwa ufafanuzi Mkuu,mie pia nilishangaa sana mtu kukutwa na hatia kabla ya hukumu!
Na bendi lake Beta la muzika,wale wanamuziki sijui km walipona.Alikuwa anachezea fedha za PPF anavyotaka mwebyewe na alikuwa na nyodo za kutisha. Kampany yake nyingine ni yule shoga maarufu mwenye Baa ya kwa Macheni pale Magomeni Mapipa. Alimnunulia mpaka prado
Huyu Jamaa alimshughulikia kikamilifu Defao hadi akalazwa wiki nzima
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.
Umeeleweka zaidi mkuu
Asante Box 2 mwenzangu kwa ufafanuzi.
Beta Muzika
Papi Kocha,Totoo ze bingwa,Jesus Ibonga Katumbi, na wengine kibao wamesahaulika
Umeeleweka chief
Ila huyo mataka atakuwa amekula pekee yake hizo hela hakutoa mgao!
Picha tafadhali.Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.
Haahaaa, muosha huoshwa. Wakware wanamsubiri kwa hamu kubwa Segerea.
Mifuko ya viroba?Duu! Jf humu kuna kila kitu, mungu awabariki sana wana-jf wote mnaotuletea mambo adimu, yaani mi tangu nilipoanza kuchungulia humu ndani nimejifunza mambo mengi sana ambayo huwezi pata mahali popote zaidi ya jf, mpaka nijiona kama nami ni msomi kama akina mhongo,ingawa kwenye nyenye mifuko ya viroba nawaachie wenyewe