David Mataka akutwa na kesi ya kujibu

David Mataka akutwa na kesi ya kujibu

Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.

Mpaka Walinzi wa Kimasai alikuwa anawavua Mashuka yale!
 
Aaah wanamuonea tuu!! Waliopiga mabl.. Huko mbona hawawekwe ndn? Waliouwa viwanda wako huru, wavijisent wako kwny game mpk ss. Uonevu tu
 
Ha ha ha ha. Mzee wa vijana watanashati, ngwasuma hiyo!!! Kuna mtu alimchukulia mzigo wake nini? Just curious nijue!!
 
mataka anyongwe tu, bazazi mkubwa. kawaafwila sana wapenda mteremko. ref defao
 
Acha kupotosha, bado hajatiwa hatiani, kilichotokea ni kuwa, mkurugenzi wa mashtaka "amethibitisha kuwa ndg mataka anayo kesi ya kujibu"
Tuwe makini unapoanzisha mada za kisheria
 
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.
Ya kweli haya mkuu?
Alikuwa anawabaka au ilikuwaje?
 
Huyu na vibaka wote wa Kikwete (TAKUKURU) lazima wachukuliwe hatua ya kunyongwa maana walikuwa wanaiba kwa kukingiwa kifua na JK na ndiyo maana walikuwa hawana haibu, wanaiba tu.
 
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.

Haahaaa, muosha huoshwa. Wakware wanamsubiri kwa hamu kubwa Segerea.
 
sasa hukumu yake imekuwaje...??
ukizingatia jana kule nigeria rais wao
kachukua hatua ngumu sana kwa watu
wa namna ya huyo mkurugenzi.

Tumaini letu mkuu wakaya, nimtu makini ataanza na huyu. inshallah
 
Last edited by a moderator:
Jana, mkuu Mphamvu aliweka uzi kwenye Jukwaa la Habari na Hoja kuwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) David Mataka amekutwa na hatia na hukumu itapangwa siku nyingine. Nikiwa na heshima kubwa kwa Mkuu Mphamvu na wengineo, naomba kuweka sahihi jambo hili katika mtazamo wa kisheria.

David Mataka na wenzake wanashtakiwa na Jamhuri kwa makosa ya kuisababishia hasara Serikali katika utekelezaji wa majukumu yao wakiwa ATCL.Kilichofanyika jana ni kutolewa kwa uamuzi mdogo ikiwa washtakiwa (Mataka na wenzake) wana kesi ya kujibu au la.

Hii hufuatia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mashahidi wa upande wa Jamhuri. Mashahidi zaidi ya kumi walipelekwa Mahakamani hapo na Jamhuri na kusikilizwa. Kimsingi, jana akina Mataka walisomewa uamuzi mdogo ambao uliwaona kuwa wana kesi ya kujibu na hivyo wanapaswa kuanza kujitetea.

Wasingekutwa na kesi ya kujibu jana, wangeachiwa huru. Kwa sheria na taratibu za kimahakama hapa Tanzania, siku ya hukumu ndiyo ya kukutwa na hatia na kuhukumiwa. Ndiyo kusema, hukumu hailali. Akina Mataka wataanza kujitetea chini ya kiapo kuanzia tarehe 10 na 11 Disemba mwaka huu.

Back
Top Bottom