David Mataka akutwa na kesi ya kujibu

David Mataka akutwa na kesi ya kujibu

Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.

Defao? Mnatuacha jamani
 
Baada ya kufatilia nimegundua kuwa Mattaka sio kuwa amepatikana na Hatia bali ni kuwa Ana kesi ya kujibu. Kwa hiyo itambidi sasa alete ushahidi wake kuwa hahusiki na makosa hayo.
Tutegemee kumuona mitaani akitamba kushinda kesi yake hivi karibuni.
 
Mkuu Daka Mtumba. umesahau tena ile account ya kuelekea Bagamoyo ukipita mbezi, sijui wanaitaje pale, au ngoja nimuulizie huyu mama hapa jirani, na huyu mama hapa kwetu anajulika kama mama-tumilioni kumi twa mboga(10,000,000) aka mchicha matembele
 
Back
Top Bottom