David Kitundu Jairo atiwa mbaroni na TAKUKURU

David Kitundu Jairo atiwa mbaroni na TAKUKURU

Jamani tutumie lugha ya staha.unamwangalia mtu ba kumfananisha na jambazi! Si vizuri.
 
Hiyo imekuwa fasheni ndani ya CCM. Naye atahojiwa na kuachiwa kama Mwigulu Nchemba na atamalizia kwa kuwapongeza TAKUKURU
Hawa ni vijana wa Mwigulu wanajaribu kupaka matope wagombea wenzake ili kufukia faulo anazocheza Mwigulu. Mkakati na mwenenfo wa Mwigulu katika siasa unamjengea maadui wengi nje nandani ya chama chake na sasa naona hata huko jimboni mwake. Ni mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa!
 
Askof Kakobe aliwaambia mtagawanyika na hamtakuwa na lugha moja. kila mtu atasema na kufanya lake ndani ya ccm ingawa ccm walimbeza na kumdharau. leo hata ndugai kafikia mahala kupiga wenzake kwa magongo
 
Habari zilizotufikia hivi punde.
Aliyekuwa katibu wa wizara ya nishati na madini na baadae kufukuzwa kwa tuhuma za Ufisadi na kuhalamisha mchakato wa upitishaji wa Bajeti ya wizara ya Nishati na Madini Ndugu David kitundu Jairo anashikiliwa na TAKUKURU wilayani Iramba kwa tuhuma za kugawa Fedha wakati huu wa mchakato wa kura za Maoni.
Jairo ni mgombea wa Ubunge kati ya watu wa nne waliojitokeza akiwamo Amon,Mwigulu na Kilimba.Jairo anatuhumiwa kusambaza fedha tsh.30000 kwa kila balozi na makatibu wa Matawi ya CCM katika vijiji mbalimbali akiwamo Ujungu,Mtekente,Mtoa,Msai n.k
Ni takribani masaa 2 sasa anashikiliwa katika ofisi hizo za Takukuru wilayani Iramba,hatua za kumfikisha mahakamani kwa kujibu tuhuma hizo.

Wadau nilikuwa naendelea kufuatilia na sasa ni hivi .USIKU HUU DAVID KITUNDU JAIRO ANASHIKILIWA NA TAKUKURU OFISI YA WILAYA YA IRAMBA KWA MAKOSA YA KUTOA RUSHWA. NDG JAIRO AMBAYE NI MGOMBEA UBUNGE ANADAIWA KUTOA 30,000 KWA VIONGOZI WOTE WA KATA 19 YAANI WATANOWATANO , AMETOA 20,000 KWA VIONGOZI WATANOWATANO WA WATAWI 135 NA ANETOA 10,000 KWA MABAOLOZI ZAIDI YA 3900 WA JIMBO ZIMA. UPO USHAHIDI WA MAANDIAHI WENYE SAHIHI NA MIHURI YA MAKATIBU KATA WAKIKIRI KUPOKEA.
 
mkuu jairo hana kosa wala hagawi rushwa, drama hii inakuja baada ya savimbi kususiwa na watia nia wenzake wote ikiwa ni pamoja na jairo kutokana na savimbi kugawa rushwa kama matogo, mpaka kupelekea vijana wa dr. Hosea kumuhoji kwa zaidi ya masaa manne.

Si unaujua umafia wa savimbi?....usishangae basi yaliyompata jairo!
breaking news.usiku huu david kitundu jairo anashikiliwa na takukuru ofisi ya wilaya ya iramba kwa makosa ya kutoa rushwa. Ndg jairo ambaye ni mgombea ubunge anadaiwa kutoa 30,000 kwa viongozi wote wa kata 19 yaani watanowatano , ametoa 20,000 kwa viongozi watanowatano wa watawi 135 na anetoa 10,000 kwa mabaolozi zaidi ya 3900 wa jimbo zima. Upo ushahidi wa maandiahi wenye sahihi na mihuri ya makatibu kata wakikiri kupokea.
 
mbona kuna mahali nilisoma kuwa hao kina jairo & co wamejitoa kura za maoni na kumwachia mwigulu!!!
breaking news.usiku huu david kitundu jairo anashikiliwa na takukuru ofisi ya wilaya ya iramba kwa makosa ya kutoa rushwa. Ndg jairo ambaye ni mgombea ubunge anadaiwa kutoa 30,000 kwa viongozi wote wa kata 19 yaani watanowatano , ametoa 20,000 kwa viongozi watanowatano wa watawi 135 na anetoa 10,000 kwa mabaolozi zaidi ya 3900 wa jimbo zima. Upo ushahidi wa maandiahi wenye sahihi na mihuri ya makatibu kata wakikiri kupokea
 
Hata babati mbunge kakimbia takukuru na kutelekeza jeep

Kwa.hiyo tuanzishe special theredi ya walagawa rushwa wa ccm
 
Tangu lini rushwa imekuwa dhambi ccm?
Au mie ndio niko nyuma ya wakati!!
 
breaking news.usiku huu david kitundu jairo anashikiliwa na takukuru ofisi ya wilaya ya iramba kwa makosa ya kutoa rushwa. Ndg jairo ambaye ni mgombea ubunge anadaiwa kutoa 30,000 kwa viongozi wote wa kata 19 yaani watanowatano , ametoa 20,000 kwa viongozi watanowatano wa watawi 135 na anetoa 10,000 kwa mabaolozi zaidi ya 3900 wa jimbo zima. Upo ushahidi wa maandiahi wenye sahihi na mihuri ya makatibu kata wakikiri kupokea

Mkuu mbona unaonekana kushabikia sana hii issue?
 
Back
Top Bottom